Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa...
0 Reactions
6 Replies
464 Views
Anonymous
Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Waziri Bashe kuna ujumbe wako huku kutoka kwa Vijana mliowatoa huko Dar eti mnakuja kuwafundisha kulima kupitia programu ya BBT. Yaani graduate ametoka IFM aache kutafuta kibarua cha kulipwa 150k...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Anonymous
Highbury Bar iliyopo Tabata Mawenzi imekuwa na kawaida ya kupiga muziki usiku kucha kwa sauti ya juu sana na hivyo kupelekea usumbufu kwa wakazi waishio jirani na bar hii. Pamoja na viongozi wa...
1 Reactions
11 Replies
653 Views
Anonymous (cdfe)
Tusaidiane kufikisha hili kwa mamlaka husika. UCHIMBAJI MCHANGA UNAVYOHARIBU BARABARA YA GOBA - MPAKANI KWENDA MADALE. Kutokea Goba - Mpakani , eneo maarufu kama "kwa ajali" ukiwa unaenda Madale...
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine...
0 Reactions
5 Replies
329 Views
Anonymous
Habari, Natumaini n mzima wa afya , wananchi wa wilaya ya ilala kata ya vingunguti tuna kero ambayo inaenda miaka miwili na nusu sasa ya maji machafu ambayo yanakuja mitaani kutoka kwenye mabucha...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Ukitaka kujua hujui piga namba za kituo cha huduma kwa wateja, itaanza vizuri tu karibu utumish kituo huduma kwa wateja, kwa msaada wanaanza bonyeza namba kama 1 au 2 au 3. Ukichagua namba ya...
2 Reactions
10 Replies
824 Views
Anonymous
Hii ni barabara ya Nguvu Kazi -Yongwe ambayo imekuwa ni kero kubwa kwa wakazi na watumiaji wa barabara hiyo. Pamoja na ahadi kemkem za viongozi mbalimbali tangu mwaka 2020 hakuna lililotekelezwa...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Kwa Sasa watumiaji wa simu za mkononi mkoani Kagera wamekumbana na tatizo la baadhi ya wafanyabiashara kupandisha bei ya vocha za simu za mikononi. Vocha ya 500 Sasa inauzwa 600 na vocha ya 1000...
0 Reactions
8 Replies
379 Views
Anonymous
Wahusika wa Barabara za Bugarika kwenda Mahina hadi Nyakato Temeke ni changamoto kubwa kwa wapita njia. Imefikia wakati vyombo vya moto vinasubiriana upande kwa upande jambo ambalo linapoteza...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Nashindwa kuelewa ni kwanini madampo yako pembezoni ya masoko isitoshe mabwana afya wapo na ni maeneo ya vyakula na huduma mbalimbali. Aidha unakuta fremu ipo karibu na dampo laki bado...
0 Reactions
3 Replies
251 Views
Anonymous
Matumizi ya Speaker ina mipaka yake. Ukizidisha sauti inakuwa sio adhana bali ni kero kwa wananchi, ambapo sio wote ni waislamu. Dini yetu inasisitiza sana kuchunga haki za majirani na kwenye...
2 Reactions
14 Replies
677 Views
Anonymous
Daladala tajwa hapo juu siku si nyingi zimelalamikiwa. Ukipanda daladala kutoka Makumbusho kwenda Chama au MagengenI wanakulazimisha ulipe 1100 maugomvi mengi yanatokea kila siku. Mfano...
1 Reactions
0 Replies
393 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Anonymous
Habari, mimi dukuduku langu ni kuhusu sekretarieti ya ajira, haifanyi fair kabisa. Mwanzo nafasi za kazi za halmashauri zilikuwa zinatangazwa na halmashauri wenyewe na kusimamiwa na wenyewe...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali...
8 Reactions
95 Replies
3K Views
Anonymous
Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Anonymous
Hii kero inahusu mzani wa magari makubwa ambao upo mtaa wa Changani- Temeke. Sina hakika kama hizi barabara za mitaani zina uwezo wa kuhimili uzito wa haya magari makubwa. Barabara ya mtaa wa...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Back
Top Bottom