Wasafiri wanaoingia au kuelekea mikoani wamekuwa wakiibiwa pesa zao. Unatozwa nauli ya luxury ila unapandishwa ordinary bus je hili limekaaje LATRA au huu wizi umebarikiwa?
Nilishtushwa na maelezo kutoka kwa vijana waokota makopo kuwa aina hizo za chupa hazina soko na hazitumiki tena viwandani kwa maana ya kuwa recycled.
Tunashuhudia uchafuzi mkubwa wa mazingira...
Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka...
Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa.
Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi...
Tarehe 10/05/2024 Polisi Tanzania walitoa tangazao la kazi kwa vijana wa kitanzania waliohitimu Shule ya Upili Mwaka 2018 na kuendelea.
Deadline ya lile tangazo ilikuwa Mei 16, hivyo kwa sababu...
Hapa Mbezi Luis, Karibu na soko ambalo linapakana na Shule ya msingi Mbezi Kuna bar na gest ipo karibu na soko kwa nyuma ya soko, bar hii inaitwa Lubumbashi na maeneo yake ya jirani kunafanyika...
Nina wiki moja nimekuja Moshi, nimetembela baadhi ya sehemu za Wilaya ya Moshi Vijijini, Shabaha, Kata ya Mabogoni.
Wananchi wa Shabaha wanateseka sana na barabara iwe kipindi cha mvua au...
Huu ndio muonekano wa Barabara ya kutoka Tabora Mjini kwenda kwenye Kata za Igalula, Goweko, Nsololo na Nyahua iliyo Wilaya jirani ya Sikonge.
Barabara hii ndio kama kiungo kikubwa cha Huduma za...
Suala hili kweli ni kero kubwa, sana Kwa watumishi, inafifiza moyo wa kufanya kazi, chanzo Cha magonjwa ya zinaa na UKIMWI, msongo wa mawazo, ukosefu wa furaha nk.
Usitawi wa familia unaangania...
Tatizo la maji bado ni kubwa sana.
Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru.
Sijui viongozi wa maeneo hayo...
Habari mimi ni Mdau wa Jamii Forums kutoka Arusha.
Naomba utusaidie kupaza sauti dhidi ya watu wanaochafua mazingira na mabango haya kwan wao baada ya kumaliza mikutano yao huwa hawana utaratibu...
Wadau kuna tatizo kubwa la maji Ilazo Extension Dodoma. Inaelekea DUWASA wameshindwa kabisa kutoa huduma ya maji safi. Kwa mwezi mzima maji hayajatoka hata kidogo. Tunaiomba serikali kuhakikisha...
Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila...
Malamba Mawili maji ni ya mgao yanaweza maliza wiki 2 bila kutoka na yakitoka yanatoka usiku wa manane yakitoka kidogo kidodo, yanachirizika hayana kasi hata kidogo kiasi ambacho baadhi ya watu...
Jamani tunaomba kupaza sauti zetu, kwa siku ya jana Mei 15, 2024 ilikuwa siku ngumu zaidi kwa wakazi wanaozunguka eneo la godauni la kuhifadhia 'sodium' kwenye eneo la barabara Mchicha Jijini Dar...
Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi...
Kuna wadada wapo kituo cha Azam Kilimanjaro pale Ferry ya kwenda Zanzibar wanakupokea na kukuambia tunakukatia ticket hivyo naomba kitambilisho chako.
Ukiwapa, wanakusajilia line ya AzamPesa, ni...
Barabara ya External kwenda Majichumvi eneo la Migombani (Majichumvi) inayopita OBAMA BAR kuanzia Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mianzini kutokezea njia Panda ya Bonyokwa na Segerea inatutesa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.