Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa...
NEMC na taasisi zingine za uthibiti, eneo la Mchicha Vingunguti kuna hewa kali sana ambayo ukipita lazima ushindwe kupumua na kupata kikohozi kikali. Watu wanasema sulphur inayotoka viwandani...
Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji.
Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo...
Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam.
Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo...
Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya.
Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa...
Mimi kama mkazi wa Ukonga, naetumia barabarani ya Tabata naomba kutoa ombi kwa IGP ama mkuu wa usalama wa barabarani mkoa wa Dar es Salaam.
Inajulikana kwamba asubuhi ni muda wa rush hours, watu...
Mimi ni mdau kutoka mkoa wa Songwe, halmashauri ya mji wa Tunduma, kata ya Mpemba tunaomba serikali itatue changamoto ya magari yanayotoka stendi kuu ya Tunduma kutia mgomo tangu asubuhi ya Leo...
Ustadhi wa Madrasa mwenye umri wa miaka 70 anayeishi hapa mtaani kwetu, ana tuhuma za kumbaka binti wa Miaka 16 mara kadhaa hadi kumsababishia hasara, kinachouma zaidi ni kwa kuwa mtuhumiwa ni...
Huduma ya Majisafi Manispaa ya Morogoro ni kitendawili kilichoshindikana kuteguliwa, mara nyingi maji yanatoka yakiwa machafu
Huduma ya Majisafi katika Manispaa ya Morogoro chini ya Mamlaka ya...
Kuna changamoto kubwa ya barabara inayotoka Mlalo mpaka Lushoto hususani katika kipindi hiki cha mvua barabara zina mashimo makubwa nyingine hazipitiki kabisa kwa sababu ya matope ni wiki ya pili...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano...!
Wanaohusika na ukarabati wa barabara ya Kimanga, hasa kipande cha kuanzia Bima hadi Mawenzi wawajibike tafadhali, au mnasubiri mpaka madereva...
Wana morogoro maeneo ya manyuki mwisho tuna teseka na Maji ya Serikari Maana kuna mambomba lakin maji yana toka jumanne tu kila Week
Licha ya kutoka mara 1 bado yanakuwa hayana nguvu kiasi...
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii...
Afisa afya au mtendaji hivi hii sehem tena mbele ya shule ya msing Lumumba mbele kabisa maji ya choo imekuwa kero,tena mbele ya ofisi za jiji maji machafu ya choo. Tuwasaidie hawa watoto na wapita...
Habari: fedha ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo hususani Chuo cha mipango na maendeleo vijijini imeingia toka tarehe 30 ya mwezi 4 lakini ajabu mpaka leo tarehe 8 ,fedha izo azijaingizwa kwenye...
Habari wanajamii,
Naomba msaada ili serikali iweze kuwajibika kutokana na changamoto ya Kilwa road kutoka kokoto mpaka vikindu.
Kutokana na ubovu na wembamba/udogo wa hiyo Barabara basi imekuwa...
Mwishoni mwa mwezi Aprili nimeandika hapa malalamiko yangu kuhusu changamoto za utoaji huduma katika ofisi za Bima ya afya ya Taifa (Tawi la Ilala).
Hii changamoto imekwenda mbali zaidi na sababu...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.