Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa.
Tunaomba mamlaka zitusaidie...
Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda...
Nimevurugwa sana.
IKO HIVI.
Hapa napoishi tulikuwa tukitumia mita ya zamani, sasa TANESCO Tanzania walikuja na kuibadilisha na kuweka mpya, ile ya zamani ilikuwa na Units zaidi ya 80, na Units...
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.
Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.
Kijiji...
Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala.
Hii...
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la uuzwaji wa wazi wa madawa ya kulevya aina ya Heroin katika stendi kuu ya mabasi ya Arusha.
Vijana wanavuta unga waziwazi bila ya kificho, na wanaongezeka...
Habari wanajamvi,
Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi.
Naona...
Ndugu zangu wana JamiiForums huko kwenu Hali ya umeme ikoje baada ya mvua?
Huku kwetu tuna siku 3 mfululizo hatuna umeme maeneo ya vikindu kilongoni tumeshapiga simu weee jamaa wamekausha.
Wengi...
Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana.
Na...
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
Wakuu habari za muda huu,
Nipo zangu natoka Mwanza kuelekea Sengerema nmepanda hii MV Mwanza kwakweli usafi wa vyoo sio mzuri hata kidogo na cha ajabu hivi vyoo naona vipo pembeni na canteen yao...
Habari,
Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021.
Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa...
TRA ya Tabata Segerea ni changamoto, huduma zao ni duni sana, pia hawana lugha nzuri katika kazi zao, ukiwaambia kuhusu hilo wanakuwa wakali kuliko pilipili.
Ujumbe huu uwafikie viongozi wao wa...
Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu..
Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye...
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na...
Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA.
Eneo hili lipo...
Ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Mtwara imekuwa kikwazo sana kwa wateja, hakuna huduma nzuri na mambo meni hayaendi kwa wakati, wanachelewesha mambo hata katika mambo ambayo...
Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu.
Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule...
Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela...
Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.