Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Mfano mzuri wa changamoto ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe ni Idara ya Macho ambayo kiukweli haina utulivu kabisa. Mgonjwa anaambiwa aje Saa 2:00 Asubuhi kwa ajili ya operation, analazimika...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Anonymous
Machi 6, 2024 nikiwa natoka Morogoro kurudi Dar es Salaam nilikata tiketi vizuri tu katika Ofisi za Mabasi ya Abood, tumetoka Stendi Kuu siti zipo levo, lakini kufika vituo vya mbele wakaanza...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Sisi wananchi wa Mwarusembe eneo zima la Kinene hatuna umeme kwa mwezi moja sasa na kila tukitoa ripoti inapuuzwa, kutumiwa ujumbe taarifa imefanyiwa kazi na hali ya kuwa bado, tupo mkoa wa pwani...
1 Reactions
2 Replies
302 Views
Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana. Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa...
15 Reactions
43 Replies
2K Views
Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza! Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga. Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba...
1 Reactions
3 Replies
481 Views
Wananchi wa Mtaa wa Bulumawe kata ya Bunju tunakutana na adha kubwa ya kupita katika barabara baada ya barabara hiyo kuanza kutengenezwa, lakini wameichimba tu na hakuna kinachoendelea hadi sasa...
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Salaam, Natambua vema kuwa kuna maeneo mengi tu jijini Dar Es Salaam ambayo ni machafu mfano Tandika sokoni, Vingunguti sokoni……n.k lakini wilaya ya UBUNGO inabakia kinara wa UCHAFU kwa hoja...
3 Reactions
11 Replies
638 Views
Imagine unakaa dakika 20 huoni gari ya kuelekea unakoenda, na unatumia usafiri tuliotangaziwa kwa mbwembwe na bashasha kwamba ndiyo mkombozi wa shida ya usafiri. Kwa hali hii, serikali iruhusu...
3 Reactions
20 Replies
781 Views
Habari wapendwa. Tukiwa tupo mbioni kumsaidia mh rais samia kwenye kuleta maendeleo kuna baadhi ya mambo ambayo huenda yanasababishwa na viongozi kwa kujua yaani makusudi au kwa kutojua. Nianzie...
2 Reactions
5 Replies
550 Views
Anonymous
Umeme katika line ya KARATU maeneo ya NMC, Mangafi, Gibbs, Endoro, Marera, Ayalabe, Rhotia, kilima tembo, Mbulumbulu, Manyara kinaoni, Chemchem, Mto wa Mbu, Selela, unakatika sana, yani mara kwa...
3 Reactions
4 Replies
358 Views
Anonymous
Naipongeza Serikali kwa ujenzi wa barabara hii. Changamoto iliyopo ni kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Safina Olasiti hadi Morombo hajaweka alama ambazo zinawataka/kuelekeza watumiaji wa...
2 Reactions
3 Replies
583 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Viongozi wa Mji wa Korogwe hamuoni ile barabara ya kuelekea Hospitali ya Magunga? Barabara mpya ambayo inaonganisha mtaa wa Mountain view na Kanisa la Roma imeanza...
1 Reactions
6 Replies
602 Views
Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo; 1. Kuharibu...
0 Reactions
2 Replies
408 Views
Hatari! Hatari! Hatari! Ndugu zangu Watanzania mtuombee tufike salama Mwanza muda huu tunaelekea Nzega Gari nililopanda nikitokea Dar limejaza abiria balaa wengine wamesimama, wengine wamepanda...
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar. Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima. Tofauti na kisiwa...
2 Reactions
14 Replies
520 Views
Anonymous
Naomba kuulizia, ni nini hasa kinachoshindikana kwa serikali kukijenga kipande hiki cha Barabara kisichozidi hata kilomita mbili na kuondokana na usumbufu unaosababisha msongamano wa magari katika...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Nimeshangazwa leo nilipokwenda jengo Millennium Tower 2, kwa ajili ya suala la kiofisi, mjengo ambao unamilikiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Watumishi wa Umma (PSSSF) nimekuta lifti tano...
5 Reactions
7 Replies
954 Views
Juzi niliamua kuingia soko la mitumba Karume kwa mara ya kwanza. Kweli ni sehemu nzuri ya kupata nguo nzuri za mitumba. Ila kuna kero moja isiyovumilika kwa watu tunaopenda ustaarabu. Kila...
17 Reactions
87 Replies
3K Views
Back
Top Bottom