Wakazi wa Tegeta A (maarufu kwa Bedui) tuna kero ya Barabara, huu ni mwezi wa tano sasa unaelekea wa sita, barabara ni mbovu na inatuumiza Watumiaji.
Barabara ninayoizungumzia hapa ni ile ya...
Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya...
Mimi ni mfanya biashara ya chakula cha mifugo kama pumba na mashudu.
Ukinunua mashudu au pumba,ili kusafirisha kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine inatakiwa kuwa na kibali ambacho kinatolewa na...
Ni mchezo mchafu wa wanaotoza hela kwa wanaotaka kuingia Magufuli stendi, ni mara kadhaa kila nikifika pale ukiwa na sh. 500 au 1000 nk watakwambia hawana shilini 100 au 200.
Mara nyingi wanafaya...
Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600
Pia...
Mimi ni mkazi wa Kawe - Mzimuni karibu na Shule ya Ali Hassan Mwinyi, kwa muda wa wiki yote hii kama sijakosea ni kuanzia Jumapili (Machi 17, 2024) nimeshuhudia taka zikizagaa mitaani tena...
Kwa heshima na tadhima naomba JF ujumbe huu uwafie wahusika.
Kipindi umeme wa REA unasambazwa, mwaka 2017 aliyekuwa Waziri wa Nishati Menad Kalema alituahidi wana Ipande kwamba umeme utaenda...
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ni imani yangu ujumbe huu utafika kwa wote, na kadhalika utawafikia Walengwa na mara Moja wataacha Tamaa na tabia zisizoridhisha..
Kwanza niwasifu baadhi ya Maafisa...
Mradi wa maji Ihungo-Bugashani-Nyakato-Burugo - Kahororo manispaa ya Bukoba.
Mamlaka ya maji Buwasa wameshindwa kutekeleza ni miaka mitatu sasa wananchi wa maeneo haya wameshindwa kupata huduma...
Jamani, mimi sielewi kwanini huku Dar maji yanaweza katika kwa muda mrefu bila taarifa. Maji yanakatikaje wiki mpaka wiki mbili bila taarifa?
Ni changamoto tofauti kuwa na uhaba wa maji, lakini...
Mmiliki wa haya mabasi kama hii route ya Mwanza-Kahama haikulipi hebu waachie wawekezaji walio serious na biashara na huduma nzuri.
Shida kubwa ni kutokujali muda wa abiria, kujaza abiria kupita...
Kuna shule ya Msingi inaitwa Gulukakwalala iliyopo Ilala, kabla mtoto hajaingia darasani lazima atoe Tsh. 1,200 ambayo ni Tsh 1,000 ya chakula na Tsh 200 ya uji kila siku, ambapo kama huna hela...
Naomba NEMC aisee muingilie kati. Hawa jamaa wa The Place bar Moshono Arusha wanapiga muziki kwa sauti ya juu sana usiku kucha.
Majirani hapa hakuna kulala. Watoto usiku kucha ni kuhangaika nao...
Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla),
Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya.
Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu...
Ukiomba kupata huduma ya kuunganishiwa maji DAWASCO Kibaha, uwe umejiandaa kifedha.
Zoezi linaanza kumpata surveyor, bila elfu hamsini hatafika site. Ukishatoa hiyo hela na surveyor akapima...
Nainaishi tegetar maguzo.
Kuna jirani anafungulia maji taka, inavyoelekea choo kimejaa hivyo mvua zinaponyesha hutukua fursa hiyo kuflash choo.
Sikukaa kimya nikamueleza adha inayonikumba...
Kutoka Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Kata ya Kiseke, Mtaa wa Nyabusaru kuna hii kero ya Kodi ya Jengo, mwanzo Serikali ili tangaza kuwa kama unamiliki Mita Mbili za umeme au zaidi ya hapo ndani ya...
Sinza palestina mtaa wa mpangala -bar inaitwa mwanzo pub ipo katikati ya makazi ya watu inapiga mziki mpaka asubuhi
Anadai yeye ni kigogo vituo vya polisi vya jirani urafiki na mabatini wanambeba...
Wananchi wa mtaa King'azi Kata ya Kwembe pamoja na maeneo kadhaa ya Kifuru hatuna maji tangu Januari.
Tunateseka nina vipele mwili mzima kwa kuoga maji ya visima
Shirika la ATCL linapoelekea linapoteza muelekeo kabisa...sasa hivi tupo Mwanza international airport tunasuburi ndege tangu saa tano na nusu usiku, na mpaka sasa hivi wanatuambia kuwa tutaondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.