Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya...
2 Reactions
3 Replies
440 Views
Salaam Wadau, Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha...
3 Reactions
6 Replies
467 Views
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa. Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wakuu, Ni wiki sasa, nimekuwa najaribu kuwasiliana na mamlaka ya vitambulisho vya Taifa ofisi za Ukonga, Dar. Zipo namba mbili zimewekwa mtandaoni kwa ajili ya wananchi kuwasiliana na...
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Hii ni stendi iliyopo katika Wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro, mahala panapojulikana kwa jina la Boma Ng'ombe, Stendi hii inamashimo shimo ambayo sio rafiki kwa watumiaji wa stendi hii. Pia...
1 Reactions
0 Replies
396 Views
Habari wakuu, Hii barabara ni mbovu sana naomba wahusika wafanyie kazi hata kama ni masika ubovu umezidi na imekuwa kero sana barabara ina mashimo kama mahandaki wabunge wapo wakurugenzi wapo...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Anonymous
Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Barabara hii inayoanzia Mbezi Jogoo karibu na kituo cha daladala na kwenda kuungana na ya Mbezi Makonde ina umuhimu sana kwa sasa kwa sababu inapita maeneo yenye huduma za kijamii kama Zahanati ya...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Anonymous
Hali ya barabara ya kuelekea Baraza la Mitihani kupitia Makonde, Mbezi Juu, Dar es Salaam inasikitisha sana na nashindwa kuelewa Serikali inawaza nini kiasi cha kushindwa kabisa kuirekebisha hii...
3 Reactions
2 Replies
872 Views
Nikiwa mkazi wa Mpiji ninaiomba serikali ijenge barabara ya Mbezi Mpiji kutokana na ubovu wa barabara ya vumbi iliyopo kwakuwa inasababisha uhaba wa magari ya abiria. Ukitaka kujua ukubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia. Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa. Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kusumbuliwa kwa wafanyabiashara wadogo soko la Mwanga Kaskazini Kigoma. Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinapinga vikali maamuzi ya Halmashauri ya Kigoma Ujiji ya kubadilisha utaratibu...
0 Reactions
3 Replies
416 Views
Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh...
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Habari kaka? Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi JK Nyerere, iliyopo Manispaa ya Moshi. Mwaka jana uongozi wa shule uliitisha kikao cha wazazi na kueleza nia ya serikali ya kuigeuza...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, Asilimia kubwa ya Wanafunzi tunaohitimu masomo ya Shahada ya Kwanza katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) ambacho kipo Kigamboni hatujalipwa fedha zetu za...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kitunda, Msongola na Kivule ni miongoni mwa kata zinazounda wilaya ya Ilala. Licha ya kuwa kata hizo zipo iliyokuwa manisapaa ya Ilala ambayo imepandishwa hadhi na kuwa halmashauri ya jiji la...
2 Reactions
2 Replies
696 Views
Habari Wakuu, Yaani inapotokea mvua katika jiji la Dar es Salaam ni kama adhabu kwa wakazi wa Mwanagati kuanzia kipande cha Kwa Mparange mpaka kituo Cha mwisho cha daladala Cha Mwanagati...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
RPC Arusha tunaomba ingilia hili suala la traffic Police Arusha wamekuwa ni kero kusimamisha magari na kuomba hela. Inakuwa kama hela ni haki yao uwe na kosa ama huna kosa. Arusha ni mji mdogo...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
1 Reactions
5 Replies
407 Views
Back
Top Bottom