Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho. Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari ndugu wazazi wenzangu! Jana nilifanikiwa kuhudhuria kikao cha wazazi pale ugindoni primary iliyopi kigamboni! Kikao kiliitishwa na maafisa wafuatao kutoka manispaa; 1. Afisa Maendeleo ya...
3 Reactions
10 Replies
665 Views
Katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi kuna mbu wengi kuliko kawaida. Cha kushangaza hata ukiwauliza manesi wanasema wamezoea sasa najiuliza pale ni hospitali unapeleka mgonjwa na...
0 Reactions
6 Replies
606 Views
Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin...
0 Reactions
1 Replies
536 Views
Katika kulalamikiwa maji safi hayapatikani na maji Taka nayo yamewashinda kabisa. Huku Sinza Mapambano kua maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu. Wachangamshe vichwa jamani sio...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jopo la watu limezagaa Dar es Salaam wanaovaa uniform za shati jeupe na suruali nyeusi wanaokamata magari kwa madai ya wrong parking. Natumia neno kwa madai kwa sababu ni kama wanaotengeza...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Anonymous
Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo. Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Anonymous
Hili daraja lipo Kilindi, katika kijiji cha Matale na Kwekivu. Daraja hili ni bovu limearibiwa na mvua na mamlaka zipo kimya halijakarabatiwa kabisa na ni adha kwa watumiaji wa njia hii
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Kwanza kabisa nianze kuwapa pole kwa wakaazi wa kigamboni kwa madhira na taabu wanazozipata kwa takribani mwezi mmoja sasa na wamekua wavumilivu. Kwa takribani ya mwezi mmoja, kivuko kipo kimoja...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Huku Mbezi Louis maeneo ya Mtaa wa Mshikamano Jijini Dar es Salaam hakuna maji ni mwezi sasa (Hadi muda naandika andiko hili Februari 10, 2024). Mara chache yanayoka usiku mwingi, Watu...
0 Reactions
5 Replies
840 Views
Anonymous
Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni...
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Wakazi wa Tabata Kimanga mtaa wa Mandela Juu hii ni wiki ya tatu mabomba yanaota kutu. Tatizo ni nini?? Ukame au maji yametibuka??
0 Reactions
2 Replies
525 Views
Taarifa iwafikie uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye Mashine zenu za parking haiwezekani msiweke bei ya parking wazi. Hata kwa kuzibandika kwenye bango ili wateja tujue tunachajiwa kiasi...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Anonymous
Nimebadilisha jina la gari langu kwenda kwa jina la mtu aliyenunua usafiri huo kutoka kwangu tangu tarehe 23/01/2023 lakini mpaka leo (Februari 2024) mabadiliko hayo ya jina yanasomeka kwenye kadi...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Anonymous
Kuna mambo ya hovyo yanafanyika kwa wakusanyaji wa ‘gate collection’ upande wa pikipiki katika Daraja la Kigamboni (Dar es Salaam), wanachokifanya hawatoi risiti halafu fedha za malipo zinazotozwa...
2 Reactions
10 Replies
950 Views
Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki. Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa. Vinginevyo Mheshimiwa...
5 Reactions
14 Replies
823 Views
Habari za mchana. Je, serikali imejipanga vipi na ina mpango upi wa muda mrefu kwa wakazi wa Kigamboni ambao wakuwa wakipata hadha ya kuhangaika na usafiri wa kivuko Ferry takribani mwezi mmoja...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Anonymous
Jamani eeee tusaidieni kupaza sauti Idara ya Maji hapa Mwanza imekuwa kero maana haijulikani ni mgawo wa maji au la! Zaidi ya siku 4 hadi 5 hakuna maji Mtaa wa Bugarika na hakuna taarifa yoyote...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii...
4 Reactions
13 Replies
597 Views
Back
Top Bottom