Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero.
Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa.
Kila bomba ukichota...
Kama ulikuwa hujui hilo basi sasa anza kuchukua tahadhari mapema. Ama usipande kabisa hilo basi au ukipanda huku ukikaa kwa tahadhari kubwa sana, maana utingo wa basi ndio mastermind.
Kampuni ya...
Mbagala na Chamanz Dar es salaam kumekuwa na umeme wa mgao usio na kipimo siku ya TATU sasa umeme Changamoto.
Hii nchi tatizo la umeme hautoisha wapigaji ni wengi.
Habarin wadau,
Naomba mwenye uelewa anijuze nawezaje kupata haki yangu, Tarehe 04 -03-2024 nilitumia Airtel Money kufanya muamala wa TZS 150,000 kwenda tigopesa hiyo pesa kwangu ilitoka lakin...
Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana.
Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote...
Habari,
Utaratibu wa Makondakta katika stend kuu ya Nyegezi si mzuri hata kidogo.
Makonda wanawavamia abiria hivyo kupelekea kupoteza baadhi ya vitu kama simu NK.
Asubuhi nimeshuhudia abiria...
Samahani kwa sisi Wakazi wa Dodoma sehemu moja wanaita Ipagala B shule ya msingi kuna adha ya kujaa maji hasa kwa kipindi hichi cha mvua.
Kuna kipindi maji yalijaa mengi sana yakaingia mpaka...
Ni wiki ya tatu Sasa nafatilia zoezi la upigaji picha katika ofisi ya nida temeke ili nipate kitambulisho lakin hakuna sijafanikiwa kupiga picha.
Ofisi hakuna watumishi badala yake askari watatu...
Habari JF,
Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya.
Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na...
Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:-
Namba za Ajabu
Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio...
Kwa hali ya kusikitisha maeneo mengi sana ya Tabata yamekumbwa na tatizo la maji, ni zaidi ya mwaka lakini DAWASA imekuwa ikitoa majibu yaleyale kwamba watu wawe wavumilivu huduma itarejea.
Wito...
Mheshimiwa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hongera Kwa kazi kubwa unayowafanyia wakazi wa Dar.
Naomba upitie barabara kutokea Magomeni inayopita Tandale Ili iunganishe na...
Nashindwa kuelewa kama TANESCO ni shirika linalosimamia maslahi ya umma, nini maana ya kutoa ahadi feki kila siku?
Kwa masikitiko makubwa sana, shirika hili limegeuza kile kinachoitwa 'Mgawo wa...
LATRA tunaomba mtuokoe na huu wizi wa mchana kweupe akitokea dalali akakuelekeza kwenye basi ujue utalipa nauli zaidi ya nauli halali. Hebu fichueni makucha yenu tuone faida ya uwepo wenu maana...
Mimi ni Afisa Afya, katika moja ya majukumu yangu ya kutoa chanjo, nimebahatika kufika katika moja ya kijiji ndani ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita, mbacho kinaitwa Kamengo.
Nilipofika hapo...
Mimi ni mkazi wa Mkoani Tabora, niweke wazi kuwa huku ketu hakuna sukari, maana nimezunguka maduka mengi bila mafanikio, nimekuja kuipata lakini nikashindwa kuinunua kutokana na bei kuwa juu.
Bei...
Huku Tabata kisukulu (Luhanga mpaka maeneo ya kwa mkuwa), tangu wiki ya kwanza ya January 2024 mpaka leo February 26 hatuna maji.
Serikali za mitaa wanasema wamepeleka taarifa Dawasa lakini...
Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo.
Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na...
Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana
Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu...
Wapendwa wadau habarini,
Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha.
Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.