Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ni muda sasa wakazi wengi wa maeneo Ilala ikiwemo boma, Amana, Bungoni, Sharifu Shamba, Malapa na Buguruni Rozana tunateseka na kero ya wanaoendesha pikipiki zenye milio ya juu wakati wa usiku...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Anonymous
TANESCO hatuwaoni wakija kuondoa hizi nguzo na kuziweka pembeni kupisha UJENZI wa barabara wamekaa kimya na hamna wakusema waje kutoa hata viongozi wenyewe hawaongei chochote. Nini kinafanya...
0 Reactions
14 Replies
286 Views
Hawa watu wa vivukoni ni bora wafurushwe wote kuanzia anaesafisha vyoo hadi wasimamizi!! Hii ni total failure, vivuko vyote vimeharibiwa kimebaki kimoja mara kwa mara kinazimika njiani...
10 Reactions
59 Replies
920 Views
Anonymous
kumetokea vunja vunja barabarani kisiwani Zanzibar na kwa mujibu wa maelekezo ni kuwa manispaa walitakiwa waondoe vimeza vilivyopo nje tu ya maduka au katika maeneo ya umma. Lakini wao kwa...
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Anonymous
Nipo mkoa wa Rukwa wilaya ya Nkasi kijiji cha Korongwe. Leo asubuhi kumezuka taharuki kijijini hapa KORONGWE iliyotokana na kuwepo kwa watu wanaojitambulisha kuwa ni maafisa biashara kutoka...
0 Reactions
1 Replies
158 Views
Anonymous
Katika Sheria za Benki Kuu ya Tanzania ambaye ndie Regulator wa Microfinance zote na kwa ufahamu wangu mpaka wafanyabiashara wanaokopesha vifaa vya kielekroniki kama simu janja, kompyuta mpakato...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa. Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa, Jamani naomba kufahamu kuhusu hii mitandao ya smu. Nimekuwa nikiweka Salio katika mtandao X mfululizo, jana asubuhi nimeweka salio kwa rusha nikaunga vizuri, jioni wakati...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watumishi wa serikali ni mikopo almaarufu kama Kausha damu, ambapo inasemekana kua mikopo hiyo imekua changamoto kubwa sana kwa wafanyakazi wa serikali...
1 Reactions
15 Replies
718 Views
Anonymous
Wengi hapa jukwaani natumaini tunafahamu chombo cha habari Mtandaoni cha Jambo TV, ni kati ya vyombo ambavyo vimekuwa vikifanya vyema kwa siku za hivi karibuni. Pamoja na hivyo, lakini msimamizi...
1 Reactions
2 Replies
597 Views
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku. Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Ningekuwa mimi leo viss wa NIDA Kawe asingerudi ofisini tena kesho Leo nimesikitika sana nikamkumbuka Magufuli mno Ajabu sana kuona ofisi kubwa kama Kawe NIDA haina genereta Huko huko ndani...
0 Reactions
3 Replies
301 Views
Anonymous
Habarini JamiiForums, Nawaailisha kero yangu kwenu iwafikie Hospitali ya Muhimbili, wanachotufanyia tunaokuja kuona wagonjwa si uungwana. Juzi July 10, 2024 nilikwenda kuona mgonjwa nikiwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Miaka ya hivi karibuni elimu imekuwa ngumu sana kwa watoto sikuwahi shuhudia. Haya mabadiliko ya watoto kwenda shule mpaka Jumapili wanasoma hadi usiku huu utaratibu ni nani aliyependekeza na...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona...
23 Reactions
83 Replies
3K Views
Kuna matangazo ya sms mengi kila siku yanaingia kwenye simu yangu. Je, kuna namna naweza kuyadhibiti? Msaada tafadhali, yananichosha.
1 Reactions
9 Replies
313 Views
Anonymous
Eneo la Vijibweni kumeongezeka migogoro ya ardhi kwa kuwa mwenyekiti wa Serikali anauza maeneo ya hifadhi ya barabara akishirikiana na kikundi cha wajanja. Na kumekuwa na malalamiko mengi juu ya...
0 Reactions
2 Replies
226 Views
Anonymous
Katika nchi yetu kuna baadhi ya maeneo kupata huduma mbalimbali za msingi kama maji, umeme n k imekuwa kawaida sana, lakini hii hali imekuwa tofauti sana katika halmashauri ya Mbulu mji hasa...
0 Reactions
1 Replies
212 Views
Back
Top Bottom