Habari za leo,
Ninatokea Mbezi mtaa wa Luis kitongoji cha Upendo.
Hivi karibuni kumeibuka wizi wa mita za maji hapa mtaani kwetu bila kujua wanaoiba wanazipeleka wapi, Dawasa tumewapa taarifa...
Kuna kero ambayo inatuumiza wananchi wa kawaida wilaya ya ILEMELA MKOA WA MWANZA kwenye ofisi ya usajili hasa wa vyeti vya kuzaliwa, tunachukua form tunajaza details zote ziko sawa msajili akifika...
Ndugu zangu,
Hii mamlaka ya RITA ni tatizo week ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa nimelipa sh 12,000 kwa vyeti viwili tu lakini majibu cjapata na hawajitokezi kuelezea nini tatizo...
Naomba kuwasilisha kero yangu ambayo imekuwa ya muda mrefu katika stendi kuu ya mabasi Dodoma ambapo wasafiri wanaoingia humo hulazimishwa kulipa ushuru wa halmashauri kiasi cha tshs 300/= hata...
Halotel Tanzania ina zaidi ya miaka 8 katika utoaji wa huduma ya mawasiliano nchini lakini inashangaza kuna mambo madogo madogo tu wanashindwa kuyaweka sawa ili kuiboresha huduma yao kimawasiliano...
Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji.
Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara.
Ni kero kubwa sana.
Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka...
Tunakaa miezi miwili mpaka mitatu bila malipo na wakilipa wanalipa mwezi mmoja malimbikizo yanakuwa mengi. Hivyo inatufanya maisha yanakuwa magumu kiasi kwamba tunakosa hata nauli.
Tunaomba...
Ni takriban miaka zaidi ya sita tangu huduma ya umeme ifikishwe katika KATA ya MAGANGE Wilayani Serengeti mkoani Mara lakini tangu wakati huo wananchi mbalimbali walijaza fomu za maombi ya...
Zebra nyingi za mjini Barabara Kuu ya Morogoro - Dodoma nimeshangaa sana kwani zimefutika, mamlaka zipo kimya na hii hali imekua ya muda mrefu na hamna anayechukua hatua.
Hatutarajii mpaka...
Changamoto yetu kubwa kutoka Mtaa wa Kanindo Kata ya Kishiri Nyamagana Mwanza ni suala la maji hakuna kabisa.
Wakazi wa maeneo haya wanapata sana tabu ya kupata maji hata ya kunywa. Mradi wa maji...
Wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Oysterbay, iliyopo Wilaya ya Babati Mkoa Manyara wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu kutokana uchafu uliozagaa pembezoni mwa Shule hiyo...
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda...
Kuna kanisa limejengwa chini ya dirisha langu. Usiku na mchana, linapiga kwaya kwa kutumia mabomba katika ibada zao. Wao hawajali kama watu wanalala au wako macho; wanashikilia ibada yao kuwa...
Habari za usiku wakubwa.
Naomba Tanroads kwa kushirikiana na NSSF waangalie namna nzuri kwa wakazi wa darajani wakati wa kuvuka barabara kwenda upande wa pili baada ya kushuka kwenye daladala...
Vyoo vya matumizi ya umma hasa kwa ajili ya kukojoa katika bar nyingi na migahawa ya bus za abiria Tanzania vina changamoto nyingi sana upande wa sinki za kukojolea.
Kuna mahali bar kubwa au...
Kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Mwigulu na team nzima ya BOT hizi App zinaendeshwa kwa kanuni ipi au sheria ipi?
Wanatoa wapi kibali cha kukopesha na kutumia taarifa za watu hata wasiohusika na...
Hakuna kitu kinakera watu kama kupita sehemu na kukutana na harufu kali ya maji machafu, iwe kwenye shimo, mtaro au darajani.
Hapa Mwanza, Mamlaka ya Maji Taka mmekuwa na utamaduni mbaya sana wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.