.
Angalisho.
Binafsi mimi ni mwafrika mkristo, hivyo naamini zaidi Biblia na ndicho kitabu nachokifuatilia Au kukisoma zaidi.
Ni katika harakati za kumuuliza Mungu wangu majibu juu ya maswali...
Mimi tokea kuanza kwa ITV na redio zake kupitia IPP ndio naona kuna vipaji vingi vya ma Dj na wahandishi wa habari hata yule mirad makepu katokea huko.
Napenda sana kusikiliza taifa ya habari ya...
Hii natoa testimony 5 ambazo zitakudhirishia mapenzi sio pesa
1. Mpenzi wa kwanza. Wakala wa pesa kupitia mitandao ya simu.
👉Huyu demu mimi nilikua naenda kuweka miamala na Sina maisha miamala...
Mrembo Joyce Mbaga maarufu kama Nicole Joy Berry amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa ajili ya kujibu mashtaka za tuhuma zinazomkabili.
Kamanda wa Polisi...
MADA: ASTROLOGY
MKUFUNZI: Dr. Rwakiunge Rugambwa (PhD)
+255 788 773 928
UTANGULIZI:
Nyota ni nini?
Mara nyingi tunasikia watu huko nje au kila mahali wanazungumzia Nyota, Nyota, Nyota; lakini...
Wagonjwa wa mpox wanadaiwa kuwekwa karantini katika eneo la Kipawa, Majani ya Chai jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu ya video ya Auledy Mduda aliyopost kupitia instagram anaeleza kuwa wapo...
1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa...
Karibu binti na mwana wa Afrika.
Moja ya maeneo ambayo yanasumbua na kutesa watu, ni mahusiano, hasa katika mapenzi au ndoa.
Kujiua, kuuwa, kukata tamaa, uraibu, ulevi, uzinzi, roho mbaya...
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi...
Wakuu,
Utapeli umepamba moto hasa mijini.unakuta umeenda na shida zako mjini unaishiwa kutapeliwa,
E bhana ee kuna siku nilikuwa kahama mjini,barabara ya mataa ya kushuka, nina elfu 40...
Watasha walisema unachopanda ndicho utakachovuna huwezi panda mihogo ukavuna miwa...
Hivi tulivyo sasa yaani kimawazo, kihisia, kiutendaji na hata namna ya kuyachukulia mazingira ni matokeo ya...
Jumatano ya wiki iliyo pita , nikiwa maeneo ya Mlimani City, nilikutana na mdada mmoja niliyekuwa nimepotezana naye for like 2 years..Aliomba namba zangu za simu kisha...
Unaweza kutengeneza maisha yenye furaha ajabu, au maisha yenye sababu nyingi kwanini, hili au lile haliwezekani kwako.
Kuwa mwangalifu na maneno unayozungumza, kwako na kwa wengine. Fahamu mambo...
Serikali imeeleza kuwa moja ya changamoto kubwa inayoikumba mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania, ikiwemo Arusha, Manyara, Kilimanjaro, na baadhi ya maeneo ya Tanga, ni upungufu wa msongo wa umeme...
Katika maisha yapo mengi ya kujifunza kila uchao. Ni ijumaa moja napata rafiki kupitia instagram ambae ni rafiki wa rafiki yangu mkubwa na kwa kuona kwamba mimi ni rafiki wa rafiki yake pia anakua...
Kwako Binti na Mwana wa Afrika.
Elimu za Dunia zinafundisha watu, kuenenda kwa akili/kutumia akili zaidi.
Elimu za kiroho zinahimiza Unyenyekevu/kuenenda kiroho/kutumia uwezo wa ndani wa...
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya...
Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku.
Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa.
Niliacha hii mikazi kipindi hicho...