Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya...
Salamu kwanza, kuna utaratibu mpya wa kuomba leseni za udereva ambao nitaelezea kama nilivyoelekezwa, unaingia katika tovuti ta TRA kisha unajisajili kwa kutumia nambari ya utambulisho wa mlipa...
TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI
Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify
Chuo...
Ndugu zangu, kuanzia mnamo tarehe 10 Desemba mpaka leo tarehe 15 Desemba 2024 sisi WANAUME wa DAR tumeishi kwa tabu sana na hali hii ya hewa.
Joto limekuwa kali sana na hali ya mawingu...
HUU DIO MKATABA WA KARL PETERS NA CHIEF MANGUNGO ULITUFANYA TUNAWEKWA CHINI YA MJERUMANI.
Ni MKATABA ambao umekuwa maarufu linapokuja suala la mikataba ya ULAGHAI ambayo iliiweka ardhi ya...
Ndani ya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kuna majengo yanayotumiwa na baadhi ya wizara. Majengo haya ni hosteli za Chuo kutaja Wizara chache zilizopo mpaka sasa ni Kilimo, Viwanda, Maendeleo ya Jamii...
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUNA NINI?
Tumepokea malalamiko kutoka kwa wanafunzi kadhaa walio tarajiwa kuhitimu masomo yao kati ya mwaka2023/2024 kwamba zaidi ya wanafunzi 400 wamekuwa Discontinued...
Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo.
NB.
Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Stephano Musomba kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Bagamoyo kuanzia leo Ijumaa, Machi...
Habari wakuu
Naamini wengi mnavijua visima ambavyo miaka mingi havikaukiwi maji .
Maji hayo yana nguvu kiroho endapo yatatumiwa ipasavyo,
Kiimani inaaminika maji haya mtu akiyaoga kwa kunuia au...
Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye...
Kuna siku nipo mtaani nakutana na msemaji wa kijiwe cha kahawa.Maana kwenye vijiwe vya kahawa kuna wasemaji ijalishi akili yako ikoje kikubwa kuwazidi uwezo kuongea.
Mada aliyokuja nayo anasema...
Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi
Polemi sana Wakati wa Dar es...
Dini ni mpango wa binadamu katika kumtafuta Mungu.
Hakuna anaejua ukweli kama binadamu yupi ameupatia mpango huo ama ameukosea.
Waislam wanaamini wapo sahihi na wakristo wataenda motoni...
Taarifa ya kuogopesha kuhusu Jiwe kubwa aina ya Asteroid kuweza kutua Duniani na kuhalibu Jiji kwa Ukubwa wake imetolewa na mwanasayansi akisema Nasa imechelewa kuzuia jiwe Hilo.
Inawezakana...
NYUMBA YA MKAPA YAGEUZWA KUWA HOTELI?
Nyumba ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa iliyopo Obama Drive, Sea View. jijini Dar es Salaam ambayo geti lake huwa linafungwa imeonekana ikiwa geti wazi huku...
Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa...
Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee.
Sababu za Kimaandiko:
Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani
1...