Mkurugenzi wa Huduma za upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Rachel Mhavile amesema Mnamo Septemba 24, 2024 serikali ilifanikiwa Kwa Mara ya Kwanza kuanzisha Kituo Cha upandikizaji wa...
Kulikuwa na kijana aitwaye Baraka, ambaye aliishi katika kijiji kilichozungukwa na msitu mnene. Kijiji chao kilikuwa na sheria moja kuu: "Mtu hawezi kutoka kijijini bila kubadilika, na msitu...
Niki Rejea katika mstari wa biblia.
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(mathayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali...
Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa...
Vikundi 111 vya akina mama, vijana, na wenye ulemavu katika Halmashauri ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 kutoka kwa Halmashauri hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema...
Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda...
Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new...
Kulingana na baadhi ya Wanyaruanda kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kigali kipo hakipo Mwanza na kipo Mwanza hakipo Kigali.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki...
Uenezaji wa Injili
Injili ni Nini
Neno injili limetokana na neno la Kigiriki “euaggelion” lenye maana ya Habari Njema. Hivyo, injili maana yake ni Habari Njema. Katika biblia, injili maana yake...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanza kutekeleza maagizo ya serikali ya kuanza kulipa Mafao kwa kutumia utaratibu wa Kikomkotoo kilichoboreshwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya...
Wakuu
Tumekuwa tukifuga sana wanyama majumbani mwetu kwa miaka mingi hasa jamii za kiafrika.
Ingawaje tumekuwa tukiwatendea unyama uhuni wanyama tuwafugao.
Hapa nitaeleza kwa ufupi niliyoyajua na...
JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda...
JUMATANO YA MAJIVU NI UPAGANI ✝️
Neno la Kwaresima
Siku ya Jumatano ya Majivu ni siku ya kwanza ya kipindi cha Kwaresima, na katika siku hii, watu hupakwa majivu kwenye vipaji vya nyuso zao...
Utapeli wao ni hivi
Mimi niliweka kiasi cha shilingi laki mbili kwa mwezi mmoja katika timiza akiba yao, na wao walisema mteja atakayeweka pesa ndani ya mwezi mmoja bila kutoa basi atapata...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa...