Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wafanyakazi wa kampuni ya Barrick nchini kwa mara nyingine wameshiriki mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na kujumuisha wadau mbalimbali kutoka...
0 Reactions
6 Replies
199 Views
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo. Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanaume pale wanapoishi Pàmoja. Zingatia, Wanaume wengi hujiona...
46 Reactions
133 Replies
3K Views
Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa Ujenzi na makazi Biashara na ujasiriamali Hapa habari mchanganyiko Jukwaa la picha Chitchat Mapishi Urembo na utanashati...
12 Reactions
124 Replies
2K Views
Maisha kwa madiba ni magumu sana ila bado watanzania kutoka uswazi wakiamini maisha yapo kule. kilichonishangaza yani mtu kashindwa kufanya kazi kuuza barabarani anafika kule na kuanza kuuza hiyo...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Vikundi 126 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, iliyopo mkoani Songwe, vimepokea mikopo ya 10% kutoka mapato ya ndani ya halmashauri hiyo awamu ya...
4 Reactions
11 Replies
245 Views
Binti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi. Sababu za kijana huyo kufanya...
8 Reactions
79 Replies
3K Views
Baada ya kutambua rasmi juhudi zao za kuitangaza Tanzania kimataifa nje ya mfumo rasmi. Wakati umefika kutambua utamaduni huu usioyumbishwa na muda au kebehi za wasiojiamini na kuamini katika...
1 Reactions
32 Replies
357 Views
Wana jukwaa heri nyingi kwenu nyote. Tuko hapa jukwaani kutaniana, kukosoana, Kushauriana, kuelekezana kuhabarishana na mengine mengi. Mara ya kwanza kujiunga hapa jf ilikuwa 2012 yote Kwa yote...
20 Reactions
128 Replies
5K Views
To whom brain 🧠 is given, Sense is expected. Kitu au jambo unalodhani na kuona kwamba kwako ni mafanikio makubwa sana, Kwa mwingine bado ni kitu au jambo dogo sana. Kuna wimbi kubwa sana la...
10 Reactions
41 Replies
694 Views
Wakati mwaka ndio kwanza umepinduka, hali ya mwalimu bado ni tete. Ahadi walizopewa na mwajiri hazijatekelezwa. Sasa viongozi wa CWT wilaya wanafanya ziara ili kurudisha imani na matumaini kwa...
1 Reactions
5 Replies
288 Views
Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka...
5 Reactions
18 Replies
273 Views
Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa. Nahisi...
14 Reactions
61 Replies
2K Views
Mtu ni Mzee 50+ hana kazi yoyote ila saa mbili asubuhi yupo kijiweni anapiga umbeya kuhusu maisha ya watu. Basi hata bustani ya kumfanya awe busy hana. Na labda tuseme hata alipambana kumsomesha...
7 Reactions
24 Replies
429 Views
Mradi wa Vijana Plus utasaidia kuwajengea uwezo vijana wengi katika usimamizi na utekelezaji wa mashirika yasio ya serikali na kuepukana na changamoto zinazowakwamisha katika uimarishaji wa...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Kumekuwapo na Links (Viungo) vinavyotumwa katika makundi sogozi na mitandao mingine ya kijamii ikiwataka watu kubofya link hiyo ili wapate zawadi ya Mb ama pesa. Links hizo mara nyingi zimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, amemshutumu mkandarasi anayetekeleza mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) mjini Geita, akimtaja kuwa hana uwezo, hana mtaji, na anakosa...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…