Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

MTU KUMSIKILIZA MCHUNGAJI AU SHEIKHE ZAIDI NI DALILI YA KUKOSA BABA AU KUWA NA BABA DHAIFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ndio sababu wewe kijana wa kiume unatakiwa upambane Sana sio...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa. Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna...
2 Reactions
16 Replies
733 Views
Wakuu haihitaji research yoyote ya kisayansi kujua umuhimu wa kula. Pia haihitaji research kujua kuwa watanzania wengi hawapati chakula cha kutosha achilia mbali balanced diet. Yaani hata ugali...
3 Reactions
6 Replies
177 Views
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo. Mpaka muda...
10 Reactions
97 Replies
4K Views
Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
0 Reactions
2 Replies
168 Views
Karibuni masterminds. Ni yapi hawezi kukuambia? Ni yapi yatabaki nyuma ya pazia? Ni maagano yapi ulio fungumana nayo bila wewe kujua? Nini inakuww Hatma ya mfumo mzima wa roho na nafsi yako?
1 Reactions
6 Replies
124 Views
Niende moja Kwa moja kwenye maada,Kwa mujibu wa waamini wa bibilia na Quran ni kuwa binaadam ameumbwa na mungu Sasa naomba kujua Kwa mujibu wa miungu ya kiafrica binaadam alitokea wapi? Au...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Baada ya mshtakiwa katika kesi Namba Cc.5866 /2024, Baraka Benedicto anayedaiwa kumlawiti mtoto kushindwa kutoa utetezi wake siku ya Februari 26, 2025 akitoa sababu mbele ya Mahakama kuwa anaumwa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari zenú, niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuwa mimi si mtaalamu kuna maswali najiuliza kuhusu kinachoendelea mashariki ya DRC lakini nakosa majibu. Naomba mwenye utaalamu/ ufahamu...
2 Reactions
4 Replies
441 Views
Ugomvi mkuu wa Wayahudi na Waarabu/Waislamu upo katika eneo la ukingo wa magharibi wa mto Yordan mahali ambapo pana miji tisa muhimu na mikongwe ya historia ya mababa wa Imani na manabii. Na miji...
10 Reactions
54 Replies
1K Views
Madhabahu ilikuwa ni mahali pa kutolea sada za damu katika agano la kale. Siku hizi wahubiri wakristo wakianzisha kanisa wanaita madhabahu eti watu walete pesa hapo. Huu ni wizi na watu wengi...
1 Reactions
8 Replies
136 Views
Mtu asiye na upendo kwa miti hana huruma kwa maisha na asiyejali wanyama hana utu wa ndani. Miti inatupatia hewa safi, kivuli, na uhai, wakati wanyama ni sehemu muhimu ya mfumo wa maisha duniani...
5 Reactions
11 Replies
279 Views
  • Redirect
Coordination of Humanitarian Affairs International Red Cross and Red Crescent Movement United Nations International Committee of the Red Cross World Food Programme CARE...
0 Reactions
Replies
Views
Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, leo tarehe 4 Machi 2025 ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Ramadhan Mubarak Baada ya kuimaliza mkoa wa pwani unaingia mkoa wa lindi kwa kuanza na wilaya ya kilwa Safari ni ndefu kama masaa matatu hivi unaingia kwenye mji mkongwe, uliotawala amani na...
0 Reactions
3 Replies
162 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewataka Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji kutekeleza majukumu yao kwa uzalendo, uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo...
1 Reactions
6 Replies
156 Views
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kufurahishwa na mwitikio mkubwa wa watu wanaojitokeza kupata msaada wa kisheria kwenye Kampeni ya Mama Samia Jijini Arusha, akisema kampeni...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara, Kiufupi ndugu yenu...
34 Reactions
49 Replies
2K Views
Usiombe uwe unatokea Posta unakuja Bunju asubuhi kuanzia saa moja yaani magari binafsi yanaendeshwa hovyo (utadhani wahusika wamevuta msuba kidogo) lakini pia wanapita njia zote kana kwamba nyie...
1 Reactions
0 Replies
100 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…