Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe...
32 Reactions
109 Replies
4K Views
Anonymous
Hii Kampuni ambayo inaonyesha kusajiliwa Tanzania, ina dalili zote za kitapeli kama makampuni mengi yahayojitangaza kufanya biashara ya Sarafu za kidigitali (BITCOIN). www.titmining.com Wameweka...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Katika siku za hivi karibuni, Kijiji cha Itumbi, kilichopo katika Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, kimekumbwa na matukio ya kuhuzunisha na ya kutisha. Majambazi wenye silaha wamevamia kijiji...
4 Reactions
7 Replies
527 Views
Anonymous
Nchini kwa sasa asilimia zaidi ya 55% ni vijana , ambao wengi hawana ajira na kama ujuavyo nchi yetu ni miongoni mwa nchi ambayo ina asilimia kubwa ya watu wa kipato cha chini.. Sasa sisi vijana...
1 Reactions
0 Replies
80 Views
Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika, Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni...
1 Reactions
4 Replies
478 Views
Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa. Nimefanikiwa kufika mara...
1 Reactions
11 Replies
654 Views
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari wamekuwa wakiteseka kwa kuwa na Barabara mbovu, Barabara hiyo imeanza kufanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Mimi ni mmojawapo😂 Na nadhani nilipigwa kama mara tatu hivi kabla sijajifunza na kuelimika Miaka ile ya 2010 nikaagiza kupitia Ebay radio touch screen.. Wakati huo bongo ilikuwa ni kuanzia lako...
10 Reactions
89 Replies
3K Views
Mji wa Kisemvule - Mkuranga Mkoani Pwani umekuwa na ongezeko la watumia barabara kadiri siku zinavyoenda mbele. Hali hiyo imesababisha kuwa na ongezeka la kufutika kwa alama za pundamilia...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
Tunaomba TAKUKURU ichunguze mapato ya Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu yoyote tangu ianzishwe na Mapato ya Hospitali yanakusanywa Jengo la Nje la Wagonjwa (OPD) na Wauguzi...
1 Reactions
9 Replies
490 Views
Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja...
3 Reactions
23 Replies
568 Views
Kwa uzalendo wa hali ya juu na kuthamini vya kwetu, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu wakichafua mazingira kwa kutupa taka hovyo, hasa kandokando ya mito inayoingiza maji katika Ziwa...
0 Reactions
2 Replies
175 Views
Naomba JamiiForums itazame yafuatayo. Je, ni sahihi kwa mkandarasi kutaka kupunguza kilomita za barabara kwa kuchepusha barabara karibu na vyanzo maji eneo la Kitulila huku akijua kufanya hivyo...
0 Reactions
4 Replies
135 Views
Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo...
70 Reactions
374 Replies
41K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muhimu sana maana taarifa za mtu zinaweza kutumika vibaya muda wowote bila ya muhusika kujua. Leo nimewaza sana zile Hotel, Lodge, au...
4 Reactions
15 Replies
672 Views
Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Uchafuzi wa mto Goba unaweza kuonekana kutoka angani. Hamuamini? Angalieni picha zilizo chini. Zinaonyesha picha za satelaiti za mto Goba. Kati ya 2018 – 2021, kulikuwa hakuna maeneo makubwa ya...
6 Reactions
18 Replies
937 Views
Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Anonymous
Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom