Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida...
In a case that has captured national attention, the arbitration dispute between Oryx Energies and Oilcom Tanzania has raised profound questions about business integrity, arbitration practices, and...
Usalama wa Taifa ni pamoja na Utulivu wa Raia wake.
Kiukweli kabisa Huwa Nashangaa hii Nchi yetu vipi?
Trump kajitoa WHO, taarifa na vumi mbalimbali kuhusiana na upatikanaji wa ARVs zinazunguka...
Malamba Mawili Msikitini hakuna maji bombani kwa miezi miwili, DAWASA ukiwapigia wanajibu wamepokea taarifa wataiwasilisha sehemu husika inaishia hapo, ukipiga tena wanakuuliza taarifa mpya kabisa...
Tatizo la maji lilikuwepo kwa muda mrefu baadaye mwezi wa 6 yakarejea yakawa yanatoka kwa wiki mara moja, sasa ni mwezi na siku bila hata tone shida nini? DAWASA mbona mnapenda kutuvuruga akili...
Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini.
Wanywaji wa Pombe hizo...
Hili ni jambo la kusikitisha sana baada ya waalimu mkoani Mwanza kufanya mafunzo ya mtaala mpya bila Posho ya kujikimu wakiwa mafunzoni.
Fikiria serikali inatekeleza jambo kubwa kama hili halafu...
Nimeona clip Mkuu wa Mkoa Arusha anasema kuna mwananchi kanunua nyumba kashindwa kukabidhiwa nyumba aliyolipa asilimia 70 na kapewa kesi yaani ujambazi wa kutumia silaha na kituo cha polisi Usa...
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.
Pia...
Mimi ni Mwanafunzi ninayeendelea na masomo katika Chuo Kuu Huria cha Tanzania (OUT) maarufu kwa jina la Open University ambacho makao makuu yake yapo Kinondoni Dar es Salaam ni kwa muda sasa...
Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya...
Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza...
Habari wana JamiiForums.
Kuna mama mmoja anaishi kaya ya MOSHONO mtaa wa MTONI,KARIBU na chuo Cha Uhasibu anauza gongo na bangi nyumbani kwake wazi wazi kama vile ana leseni.Pale kwake ni...
Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka...
Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na...
Wananchi wa Kata ya Mabawe Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera tunaipongeza Serikali za Jamhuri wa Tanzania chini ya Dkt. Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa jitihada za Maendeleo...
Uhaba wa walimu imekuwa ni janga la kitaifa kwa shule za msingi za maeneo ya vijijini, shule yenye wanafunzi karibia 600 ina walimu wanne, walimu wanahama bila mpangilio, lakini hawaletwi wapya...
Hapa Mkoa wa Kigoma kumeibuka wimbi la mauaji na ukabaji katika Kata ya Nyumbigwa, Wilaya ya Kasulu yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya raia wa kigeni wakiwemo kutoka Burundi.
Raia hawa huchukuliwa...
Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na...
Kuna Hiki Chuo Cha Mandeleo Ya Jamii Jiji Mbeya Ambacho Kipo Eneo la Uyole Imekuwa Kikiendeshwa Kihuni huji Sana Bila Kujali Wanafunzi Wake..
Moja Kati ya Jambo Kubwa ni Chuo Kuchangisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.