Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Leo katika mchezo wa mwisho wa kombe la FA mwamuzi alisimamisha mchezo kwa dakika kadhaa ili kuruhusu mchezaji wa Manchester United Noussair Mazraoui aweze kufuturu. My Take : Dunia ingekuwa...
12 Reactions
27 Replies
964 Views
Habari wakuu Nataka Kununua pingu kwa ajili ya kujilinda, Najua kwa raia wa kawaida nchini kwetu hapa si kosa kisheria kumiliki pingu, Hata hivyo polisi wanasema hakuna sheria inayokataza raia...
5 Reactions
30 Replies
671 Views
Habari wakuu Mim huwa naota ndoto nyingi ila hii yajuzi nimeona niitilie manani kidogo maana mpaka leo sijapata majibu Mimi naishi hapa hom na mam lakn kwasas anaumwa umwa kdg, mzee...
1 Reactions
16 Replies
579 Views
Japo wanasema maisha popote ila Kwa Mikoa hii ukienda kutafuta maisha basi tegemea kutoboka badala ya Kutoboa 😬😬 1.Kilimanjaro 2.Shinyanga 3.Simiyu 4.Kagera 5.Singida 6.Rukwa 7.Tabora 8.Dodoma...
17 Reactions
182 Replies
8K Views
Habarini wana jumuiya kubwa ya JamiiForums, Ni wakati sasa wa kuwa na mada yetu maalum kwa kaliba hii kubwa na pana yenye dhamana adhimu ya kuhakikisha tunasafiri na kufika tuendako salama iwe...
53 Reactions
787 Replies
76K Views
Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi? Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar...
9 Reactions
45 Replies
1K Views
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi imetajwa...
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Mtuhumiwa Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake...
1 Reactions
4 Replies
602 Views
Kama ulikua hujui kuwa unaweza kumjua mtoto ni wako au sio wako bila kupima DNA wacha nikufahamishe;- Watu wengi huamini kuwa njia ya kicheki DNA pekee, Ndio inayo tambulisha kuwa mtoto sio...
1 Reactions
11 Replies
296 Views
Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao...
7 Reactions
41 Replies
747 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Ndege Wasioonekana Wakitua Usiku. Kuna mambo yanayotokea gizani, huku wanyama wa porini wakiendelea na maisha yao ya kawaida. Huku raia wa kawaida wakijishughulisha na maisha yao, ndege fulani...
4 Reactions
11 Replies
222 Views
Wataalamu na wafundi wa electronics, Nina stabilizer ambayo leo sijaielewa. Hivi inawezekana ukaondoa FUSE kwenye stabilizer na bado ikandelea kuwaka na kufanya kazi au kuna tatizo. Na km ni...
1 Reactions
14 Replies
212 Views
Wasaalam!!!! Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali... Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem...
44 Reactions
248 Replies
7K Views
Habari wadau wa JamiiForums, Kwenye dunia ya sasa, kuna mastaa wawili wa biashara: wale unaowaona hadharani na wale wanaopanga mchezo nyuma ya pazia. Wengi wetu tunanunua bidhaa, kutafuta...
5 Reactions
9 Replies
332 Views
Wadau wa JF, Karibuni! Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…