Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na...
Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi...
UTANGULIZI: JE, VITA KATI YA NATO NA URUSI VINAWEZEKANA?
Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia...
Leo tarehe 1 Machi, baadhi ya wapiganaji wa FDLR waliokamatwa na M23, katika vita vya Goma, vilivyoiacha Goma mikononi mwa M23, tarehe 27 January 2025, watafikishwa mpaka wa La Corniche kati ya...
Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi.
Pamoja na ujinga aliokuwa...
Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani...
Binafsi sioni sababu za Zelensky kuendelea kuishukuru Marekani, wakati amefanya hivyo mara nyingi. Tena kipindi hiki Ukraine yuko kwenye wakati mgumu sana, kwa kuzingatia kwamba:
1. Trump...
Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya...
Russia invaded a sovereign country which it's territorial integrity was signed and granted by US, England and Russia. Budapest memorandum Dec 5th 1994.
Russia violated Geneva conventions, killing...
Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano".
Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5...
Mimi nakaona haka kajamaa ni kakuda sana. Kuna namna kanataka kafanye uboss huku kenyewe ndio kaliko na tabu.
Hakajui bila US hio nchi yake ingekuwa mkoa wa Urusi tayari
Wadau hamjamboni nyote?
Nipo ibadani leo machi mosi hapa Kanisa la Wasabato salasala na nimefurahi mno taarifa ikisema mapato ya zaka yamepaa na kufikia milioni 120 Kwa mwaka 2024 kutoka milioni...
Kwa huu mwenendo wa marekani kwa sasa mwenye uhakika wa usalama,ukaribu na utafiki na marekani naona ni Israel pekee.
Hawa wengine wanatumika tu kiurafiki wa kinafiki na marekani kwa ajili ya...
Rais Trump wa Marekani anatarajiwa kukutana na Rais Zelensky wa Ukraine, siku ya leo, ikulu ya Marekani White House.
Jana, Rais Trump akisubiria ujio wa Rais Zelensky, alimsifia kiongozi huyo...
Jeshi la Burundi limekanusha ripoti kwamba lilihusika na mashambulizi ya Mabomu huko Bukavu, Kivu Kusini, ambako mkutano wa AFC/M23 ulikuwa unafanyika.
Brigedia Jenerali Gaspard Baratuza, Msemaji...
27 February 2025
Ikulu ya Gitega
Burundi
RAIS WA BURUNDI , EVARISTE NDAYISHIMIYE, ABADILI MSIMAMO WA BURUNDI KATIKA KULETA AMANI NCHINI DRC,
Rais Evariste Ndayishimiye akutana na mabalozi wa...
Kwa mujibu wa Quran Tukufu WALIOPEWA hiyo Ardhi ni Wana wa Israel,hakuna mahali Quran inawatambua WAPALESTINA,kama Kuna Aya zipo nitaomba nisaidiwe maana elimu ni Bahari
Hebu tuangalie Quran...
Serikali ya Marekani chini ya Donald Trump imesitisha ufadhili katika programu mbalimbali za afya ikiwemo HIV, Polio, na Malaria duniani kote.
Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, serikali ya...
Ni wazi kabisa Zelensky hakuwa sawa kabisa kichwani, unaweza kusema kuwa ni kama vile alikuwa ametumia bangi maana alikosa kabisa ustaarabu wa kuzungumza na Rais wa nchi ndani ya WHITE HOUSE na...
Serikali ya Malaysia imekubali kuanzisha upya utafutaji wa Ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia MH370, ambayo ilitoweka takriban miaka 10 iliyopita, ikiwa ni mojawapo ya matukio yaliyoshangaza...