Huko jerusalem,bwana mmoja myahudi muisrael,alimshambulia kwa shoka mama mmoja na kumjeruhi,akimtuhumu kuwa mkristu
Soma zaidi
Israeli man attacks Jewish woman, mistaking her for a Christian...
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli.
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji...
Hakika Umaskini ni laana. Zelensky anagombezwa kama mtoto mchanga. Viongozi wa Afrika wakifika kwa mwamba lazima wachapwe bakora.
ISOMEKE: Viongozi wa Afrika mna la kujifunza kwa Zelensky
Baada ya kuitwa dikteta na Trump ,raisi Zelensky wa Ukraine alirudi nyuma kidogo na kuanza kumkubalia baadhi ya mambo aliyokuwa akidai raisi wa Marekani hasa hasa kuhusiana na kuruhusu madini...
Kundi la AFC/M23, leo 28 February 2025, limewatangaza viongozi wapya wa jimbo la Kivu kusini, ambao ni
• Bwana BIRATO RWIHIMBA Emmanuel, Gavana wa jimbo
• Bwana DUNIA MASUMBUKO BWENGE, Naibu...
Ona hapa alivyosimangwa na kuwekwa mtu kati huko White house. Kwa mtindo huu kila nchi itataka kujidhatiti kivita. Pengine tutashuhidia hata wamiliki wa silaha za nyuklia wakiongezeka...
Wanakumbi.
Mabadilishano haya ya Zelensky-Trump-Vance ni moja ya mambo ya kichaa ambayo nimewahi kuona maishani mwangu.
=====================
This Zelensky-Trump-Vance exchange is hands down one...
Miaka mingi iliyopita, watu wengi walifikiri kwamba MArekani anapigana vita ili kulinda amani, demokrasia au kuwaokoa watu/nchi fulani kutoka katika ukandamizaji. Ilijipambanua kwamba yenyewe...
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare.
Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea.
Naona wanajeshi...
Hatari aisee.
Malumbano makali yalizuka katika Oval Office siku ya Ijumaa kati ya Rais Donald Trump na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ambaye alitarajia kushawishi Marekani kuendelea...
U.S. and Russia Agree to New Russian Ambassador for USA
Hal Turner World February 28, 2025
The Russian Foreign Ministry reports that Washington has agreed to a new Russian ambassador...
Ripoti ya “Viashiria vya Nguvu Laini Duniani Mwaka 2025” imetolewa hivi karibuni huko London, Uingereza, na nafasi ya China imepanda hadi pili duniani. Hii ni mara nyingine ya kupanda kwa nafasi...
Papa Francis anaendelea kupata nafuu huku akiendelea kupambana na nimonia pande zote mbili, Vatican ilitangaza Ijumaa, lakini hatatoongoza ibada ya kila mwaka ya Kanisa inayofungua kipindi cha...
Wakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao.
Kunani huko anayejua...
Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia...
Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji...
Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.
Ina maana Us wana ubinafsi...
Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono...
Watu 11 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa Alhamisi wakati wa mlipuko katika mji wa mashariki mwa Congo wa Bukavu uliotokea kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na viongozi wa kundi la M23...
Video za Wanaojiita Wapalestina zinasikitisha full Taqiyya yaai unasikiliza unaishia kucheka.. vijana hadi wazee so hawa jamaa nadhani wana chuki za Asili sababu ya wizi wa ardhi...