Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo...
Rais wa Marekani Donard Trum amesema kuwa endapo hadi kufika Tarehe 15 Febuari siku ya Jumamosi saa sita mchana mateka wa Israel waliotekwa na Hamas hawajaachiwa kutatokea athari kubwa.
Trump...
VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi...
Naamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa.
Maombi haya pia...
Mahakama ya kijeshi, huko DRC, Kivu kusini, leo tarehe 14 Februari 2025, imewahukumu wanajeshi 212 kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia adui,kosa lililotafsiriwa kuwa ni usaliti wa kiapo...
Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto.
Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na...
Leo katika pitapita zangu mahali nikakuta documentary inayoelezea machafuko ya huko Congo, kuanzia chimbuko
Kwa kifupi nilichokuja kugundua baada ya muda mrefu kuwaza kua sababu ni nini huko...
Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara...
Wadau hamjamboni nyote?
Operesheni kubwa ya kijeshi kuyasaka magaidi ya Hamas yaendelea huko ukingo magharibi mwa mto Jordan
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo...
Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la...
Jenerali MASUNZU, siku za nyuma alipewa uongozi wa kanda ya 3 ya kijeshi, ambayo inaundwa na mikoa ifuatayo: Kivu Kaskazini, Kivu kusini, Ituri, Haut-Uélé na Tshopo, amesalimika baada ya kuundiwa...
Ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda au kwingineko lakini zenye Makao yake nchini Rwanda, zimepigwa marufuku kuruka juu ya anga ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mamlaka ya DR Congo...