International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa la kimataifa. Hii ndio habari iliyotangazwa leo saa 2 usiku katika taarifa ya habari Azam. Msemaji wa serikali ya israeli ameutangazia umma wa watanzania kuwa mwili wa Joshua...
19 Reactions
244 Replies
10K Views
DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris, Lengo la DEI ni...
2 Reactions
14 Replies
707 Views
Elon Musk aliingia Marekani kwa visa ya wanafunzi kwa ajali ya Masomo ya chuo kikuu, alipoingia tu chuo akaachana na masomo akaanza kufanya biashara zake mtaani bila kibali cha ukazi au cha...
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Aliyekuwa mbabe wa kivita wa Liberia Prince Johnson, ambaye alisimamia mauaji ya kikatili ya aliyekuwa Rais Samuel Doe wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotikisa nchi hiyo, kabla ya kuwa...
4 Reactions
65 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Habari njema sana Joseph ndiye Rais mpya Lebanon akichaguliwa kwa kura 99 kati ya 129 Amehudhuria mafunzo maalumu ya kijeshi ya kupambana na ugaidi nchini Marekani mwaka...
5 Reactions
64 Replies
2K Views
https://www.google.com/amp/s/www.aljazeera.com/amp/news/2021/8/19/mapping-wildfires-around-the-world-interactive Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu...
4 Reactions
15 Replies
425 Views
Kusema ukweli kuna muda huwa naamini nchi yetu imerogwa. Au ilishawahi kurogwa huko nyuma. Tangu vita vya Ukraine kuanza Gesi imekuwa bidhaa adhimu na ya thamani sana duniani. Mataifa mbalimbali...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi...
2 Reactions
11 Replies
776 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Israel ya kale ilitawaliwa kidini, mfalme hakwenda vitani bila kibali cha Mungu, tawala zinazoongozwa kidini sasa wanatumia utaratibu...
2 Reactions
8 Replies
282 Views
Hivi karibuni Tanzania ilizindua njia mpya ya meli ya moja kwa moja kati ya China na Bandari ya Dar es Salaam. Huduma hii mpya ambayo inatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa muda wa mizigo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ebu ingia hapo UAE, nchi ya Kiarabu iliotajirika, nchi yenye nguvu kuu yaku-attract asilimia kubwa ya wahamiaji kutoka mataifa ya kiarabu mengine lakini ... Hakuna grooming gangs Hakuna rape...
4 Reactions
24 Replies
895 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa kutokea Tehran Hali ni mbaya kwa mazayuni na wafadhili wao inabidi tuwaombee Maelfu ya wapiganaji wenye mafungamano na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Rais mteule Donald Trump amepewa msamaha wa moja kwa moja katika kesi ya kughushi nyaraka za biashara kuficha malipo kwa Msanii Stormy Daniels, hatua inayomaanisha hatakabiliwa na kifungo...
2 Reactions
7 Replies
441 Views
Umoja wa Mataifa unatambua rasmi sarafu 180 duniani kote, zinazotumika kama zabuni halali katika nchi 195. Hata hivyo, umaarufu na matumizi mapana si lazima yalingane na thamani au nguvu ya...
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa...
6 Reactions
201 Replies
5K Views
Wanaisha jameni, yaani kiduku wa Korea Kaskazini anawarubini watu wake wanafia kwenye nchi ya watu kwa ajili ya ugomvi usiowahusu, nakumbuka hata wavaa makobaz wa kutokea Syria na kwingine...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri...
25 Reactions
203 Replies
8K Views
Wadau hamjamboni nyote? Born: September 23, 1956 (age 68 years), Isfahan, Iran Education: Ohio University, Sharif University of Technology, University of Detroit Mercy · See more Previous...
1 Reactions
6 Replies
537 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…