Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi wa Marekani waliyalitumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia Africa
Msikilikilize kuanzia dakika 1:20 akianza kutema cheche
Mmoja wa waliothirika na hama hama ndani ya Gazi ni mzee Yasser Alsharafa ambaye alipohojiwa kuhusiana na matamshi ya hivi karibu kutoka kwa raisi wa Marekani, amesema hatishiki na maneno hayo...
Majuzi kati kulikuwa na habari za kurudishwa kwa majeruhi walio DRC kwa ajili ya misheni ya SAMIDRC. Baada ya hapo ikawa kimya kimetamalaki.
Zaidi tukasikia M23 wameiteka Goma na baada ya apo...
Niaje waungwana,
Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli...
Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje:
"Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu...
Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear.
Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa...
Wadau hamjamboni nyote?
Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
1. Lord's Resistance Army (LRA):
Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara...
Jeshi la anga la Ethiopia limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa al-Shabab katika Mkoa wa Shabelle ya Kati nchini Somalia, Shirika la Fana Broadcasting Corporate liliripoti hapo...
Wakuu,
Serikali ya ujerumani leo imeitaarifu Rwanda hatua yake ya kusitisha misaada mbalimbali katika nyaja za elimu, tekinolojia na afya.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuthibitika kwamba Rwanda...
Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka kama maagizo ya papa yalivyo agiza kwa viongozi wa kiroho kutekeleza agizo hilo...
LATAKIA: SYRIA Russia imeruhusu raia wa jamii ya Alawite wanaokimbia mauaji ya Utawala wa Magaidi uliosimikwa na kufadhiliwa na Israel kuingia ndani ya kambi ya Jeshi Khmeimim Air base Latakia...
Mgeni rasmi Trump katika nchi ya mtume Muhamad s.a.w.
1117. Umar amehadithia kuwa alimsikia Mtume akisema: "Nitawatoa Mayahudi na Manasara katika Rasi ya Arabuni hata nisibakishe isipokuwa...
Kwa Wapenda Amani Duniani wakiwemo Vioongozi wa Nchi za Kiislam au zenye waislam wengi na wacheche waache uongo mara moja Dunia imechoka na uongo ambao unasababisha kutokuwepo na Amani... news za...
Nasihi tumia dakika 7 tu za urefu wa video hii utapata ukweli wote. Halafu ndiyo utajua kwanini waarabu wa Saudi Arabia wakiongozwa na MBS wameanza kuyasitukia magundisho ya Quran na Sunnah zake...
EPA
Vikosi vya usalama vya Syria vinadaiwa kuwaua mamia ya raia wa kundi la wachache la Alawite katika kuendeleza ghasia eneo la pwani ya nchi hiyo, kulingana na kundi la kufuatilia vita...
Wanaukumbi.
Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka...
Elon Musk ameendelea na mvutano wake dhidi ya serikali ya Afrika ya Kusini kwa kusema kuwa kampuni yake ya Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi nchini humo kwa sababu yeye sio mtu mweusi...
Wakuu,
Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, aliachiwa huru Jumamosi baada ya kushikiliwa kwa siku 52, baada ya upande wa mashtaka kuamua kutokata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama uliobatilisha...
Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC.
Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa...