Kati ya kazi nzito bwana Donald Trump alizo nazo ukiondoa changamoto za ndani ni kupambana na haya mataifa yanayo tishia usalama wa marekani kwa miaka mingi ijayo.
Moja kati ya kazi tukufu...
Dollar ni sarafu ya Marekani na inayotumiwa na Dunia nzima licha ya kuwepo sarafu mbali mbali zinazoundwa na baadhi ya umoja wa nchi mbalimbali kama Africa Mashariki, Umoja wa Ulaya n.k na lengo...
Kuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani.
Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa...
Ndoto ya kujaribu kuondoa ushawishi wa sarafu ya dola ya Marekani katika mfumo wa biashara duniani unaofanywa na Russia na China inaonekana haitazaa matunda yoyote kama inavyo chambuliwa hapa na...
Siku ya tarehe 20 Novemba 1979. Ilikuwa ni tarehe ya kwanza ya Muharram. Msikiti mkubwa zaidi wa Makka ulijaa mahujaji wa Pakistani, Indonesia, Morocco na Yemen pamoja na wenyeji.
Katika umati...
🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
🚨NEWS: Donald...
Habari Wandugu,
Mbona sioni mada yoyote jinsi Urussi alivyochakazwa na ukraine juzi? 24 Nov 24? Nasikia mpk machuma sijui S400 chakazwa vibaya, kambi ya jesh na top leader wanne wame R.I.P sa hiv...
Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel.
Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel.
Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel...
Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.
Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara...
Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu...
Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao
Hii hapa animation ya kituo...
Familia imenogewa na kiti cha Urais baada ya Mume sasa Mke naye akitamani kiti hicho!
===================
Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, Simone Ehivet Gbagbo ametangaza kuwa atagombea...
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amesema kuwa Ufaransa inapaswa kufunga kambi zake za kijeshi nchini humo, wakati taifa hilo linajiandaa kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 ya mauaji ya...
Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za...
Salaam, Shalom!!
Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi, kaskazini na kusini.
Silaha nzito za maangamizi Kila Taifa kubwa linazo, ni kutishana tu, haitakuwepo vita kuu ya tatu...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden siku ya Ijumaa alichukua nakala ya kitabu ambacho kilielezea Israeli kama nguvu ya kikoloni katika kukabiliana na upinzani wa Wapalestina licha ya kuunga mkono...
Wakuu,
Rais wa Urusi Vladimir Putin anadaiwa kuwa na mtoto wa siri ambaye anaishi Ufaransa na kufanya kazi kama DJ kwa kutumia jina bandia.
Elizaveta Krivonogikh, mwenye umri wa miaka 21...
Kim Jong Un Alihudhuria shule ya serikali ya Liebefeld Steinhölzli huko Köniz, karibu na Bern, chini ya jina "Pak-un" au "Un-pak" kutoka 1998 hadi 2000 kama mtoto wa mfanyakazi wa ubalozi wa Korea...