International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

US na UK zilikuwa zimeizuia Ukraine kutotumia makombora ya ATACMS ya USA na Storm Shadow ya UK kupiga ndani ya Russia. Juzi kati wakairuhusu na Ukraine ikayatumia kupiga ndani ya Russia. Putin...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za jioni Great thinkers! Kwanza kabisa napenda kusema kwamba mimi si mtaalamu sana wa maswala ya silaha,sio mwandishi mzuri makala. Baada ya jana au juzi hivi Russia kufanya mashambulizi...
22 Reactions
60 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa...
12 Reactions
144 Replies
3K Views
Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo "Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia...
24 Reactions
250 Replies
8K Views
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose...
0 Reactions
6 Replies
784 Views
Muundo au Mfumo wa muingiliano wa dunia baada ya kuisha kwa vita vya pili vya dunia ulijulikana kama Rules-Based Order(RBO), katika mfumo huu viongozi wa dunia walikubaliana kuachana na ule...
4 Reactions
27 Replies
748 Views
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na...
17 Reactions
105 Replies
5K Views
Niamey , Brussels. Umoja wa Ulaya( EU) umemuita nyumbani balozi wa Umoja huo nchini Niger leo tarehe 23 Novemba 2024. Hatua hiyo imekuja baada ya serikali ya Niger kuukosoa umoja huo kwa kitendo...
1 Reactions
1 Replies
226 Views
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna...
14 Reactions
176 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Yasemekana Kiongozi Mkuu huyo aliyechaguliwa karibuni na shura ya maimamu kuongoza kikundi hicho cha Hezbollah alikuwa ndani ya jengo hilo pamoja na afisa mwandamizi...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Marekani, Uhispania, Italia, na Ugiriki zimetangaza kufunga kwa muda balozi zao mjini Kyiv siku ya Jumatano, baada ya kuripoti " uwepo hatari kubwa ya mashambulizi ya anga nchini Ukraine."...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
🇷🇺 PUTIN: OUR MISSILES CANNOT BE STOPPED "We will issue warnings to civilians and to clear the zones that will be targeted, and we will certainly do this in a transparent manner. We have no...
26 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu, Mbona kama tunaelekea kwenye WWIII? Whats going on? Siku ya Jumatano gazeti la New York Post limevujisha taarifa kuwa Ujerumani inajiandaa kupeleka askari wapatao 800,000 nchini Ukraine...
7 Reactions
96 Replies
4K Views
Rais mteule Donald Trump alitangaza Ijumaa kuwa amemchagua Scott Turner, mchezaji wa zamani wa soka la kulipwa, kuwa waziri wa Idara ya Makazi. Turner mshauri wa rais Trump kuhusu namna...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chahusika hapo juu Tuungane na tusome bila kuchoka zaburi ya 109:8-14 dhidi ya magaidi na ndugu zao wote wanataka kuliangamiza taifa teule la Mungu. ✓"Siku zake na ziwe...
5 Reactions
20 Replies
534 Views
Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege. Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi Cha ajabu Brazil...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+. Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Chanzo cha picha: Getty Images Maelezo ya picha,Kyiv hapo awali iliweza tu kutumia makombora hayo ndani ya mipaka yake. Ukraine imerusha makombora ya Storm Shadow yanayotolewa na Uingereza...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani...
12 Reactions
96 Replies
3K Views
Vita inaingia kwenye sura nyengine 20 Novemba 2024 Rais wa Marekani Joe Biden amekubali kuipa Ukraine mabomu ya kutegwa ardhini, afisa wa Marekani ameiambia BBC. Afisa huyo ambaye alizungumza...
2 Reactions
8 Replies
585 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…