Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Yapata miezi miwili ninajikuna mno mwili mzima silali usiku nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio. Sijui ni allegy gani nimekumbwa. Please help me.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
heshima mbele wakuu. najua kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya zetu, hivyo basi nahitaji kufahamu idadi ya bia tunazostahili kunywa kwa siku ili tuepekane na madhara yanayoweza kutupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kulala usingizi wa kutosha kila siku kutakupunguzia sana safari za kwenda kumuona Daktari. Usingizi ni kinga ya magonjwa kama kisukari, magonjwa ya moyo, kunenepa kupita kiasi, kusahausahau mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Food as Medicine HEADACHE? EAT FISH! Eat plenty of fish -- fish oil helps prevent headaches.. So does ginger, which reduces inflammation and pain. HAY FEVER? EAT YOGURT! Eat lots of yogurt...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
ALL ABOUT VITAMINS, MINERALS AND SUPPLEMENTS In general the way to get crucial vitamins and minerals is through healthy foods, so for a completely well-nourished person, supplements may be a...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Mobile Phone Radiation affect in human body WHO and mobile phone radiation WHO - World Health Organization WHO (World Health Organization) conducted a detailed study about the affect of Mobile...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Habari wana jamii wenzangu, nimekuja kwenu naitaji msaada wenu pia hata tiba kama ipo. Tatizo langu linalo niweka matatani na katika mawazo, mimi kolodani zangu inafikia wakati yananiuma sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 2007 nilienda California kwa ufadhili wa mashirika flan ya dini ya hukohuko marekani nilikaa kule kwa miez 10 then nikarud bongo likizo nilivyorudi nilikuwa na wamarekani wawili mwanaume na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilishangaa kuona clinic moja ya IVF mitaa ya mikocheni wakati napita nikiwa kwenye gari la mshkaji, nikaropokwa 'atakua amefungua kwa ajili ya wazungu!' nikidhani Dar niliyoiacha enzi za mwalimu...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale wanajf wenzangu. Naomba ufafanuzi katika hili jambo kwa wale wanaofahamu tu, kama hujui ni bora ukae kimya utaonekana unajua.. Ni hivi jamani, eti inakuwaje...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Naomba mwenye ujuzi na haya mambo. Naomba kujua madhara pindi mtoto anapoingiza kitu "mf: karanga/harage nk." puan, madhara yake pia ni hatua gani kuifanya kama huduma ya kwanza(fast aid) iwapo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana JF Kheri ya mwaka mpya Siku za hivi karibuni nimekubwa na hali ambayo sijaweza kuielewa kama ni ugonjwa au la, ni kwamba kila niamkapo asubuhi au mda wowote kama nilikuwa nimelala...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mimi ni msichana,nimekua nikipata period vizuri tu na last month nlipata tarehe 1 dec, ila mpaka leo cjapata period n mzunguko wangu ni wa siku 28 na kwa mwezi wote huu sijakutana na mwanaume...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi karibuni nilikua nasumbuliwa na maumivu ya tumbo nikahisi naweza kua na uvimbe tumboni,nikaenda lugalo hosp wakanifanyia ultra sound kwa kuweka mashine chini kidogo ya kitovu then badae...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Aloe Vera as a cure Tremendous caution should be taken to claims of Aloe Vera curing certain ailments and the following should be borne in mind There is little medical research for Aloe Vera...
1 Reactions
6 Replies
29K Views
naomba tujadili juu ya maziwa ya ng'ombe, watu wenge husema,mtu akinywa sumu maziwa huweza kumsaidia akapona, pia mtu anayefanya kaza mahali penye vumbi,moshi,kamavile viwanda vya tumbaku etc...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wana JF!Mtu akizoea kutafuna vitunguu saum vipeke vitatu japo kila siku inasaidia kuponya au kuzuia malaria.Tumieni.
1 Reactions
11 Replies
13K Views
Nawezaje kuondoa weusi shingoni na usoni kutokana na kuunguzwa na jua(sunburns )
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Kuna tatizo kama msichana/mwanamke akipata siku zake(hedhi) kwa wiki nzima isivyo kawaida kuna dawa ya kuisitisha na nini sababu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za kazi wataalamu!naomba mnijuze nini chanzo,dalili na matibabu ya baridi yabisi
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…