Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nafikiri ni nzuri, jitahidi kuisoma a day at the std clinic | The Sun |Features
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Siku hizi limekuwa ni jambo la kawaida kuwaona vijana kuanzia miaka 24 wakiwa na mvi kichwani. Asili inatuonyesha kwamba watu wanaoota mvi ni wazee. Je, kitu gani kinasababisha watu waote mvi...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Naomba usikilize tangazo lao linavyotuzalilisha waafrica, linaonesha kuwa wakati dunia nzima inahangaika kushughurikia mambo ya muhimu Africa tuna-party na coca cola. Lile tangazo huwa nakasirika...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Wanajamii Forum mliopo mjini Arusha naulizia ni hospitali gani hususan ya private wanatoa huduma nzuri kwa watu wenye matatizo ya uzazi 4 both me&ke. Msaada tafadhali.
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Kwa wale ambao ni wafuatiliaji wa mambo mbali mbali yanayohusiana na silaha za kibaiolojia, watakuwa wanajua ni namna gani ambavyo silaha hizi zinafanyiwa majaribio. Nakumbuka wakati flani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wataalamu tunaomba ushauri wenu.Je kuna madhara gani kwa kutunga mimba wakati mwanaume akiwa anaumwa au anatumia madawa makali?Chukulia mfano anaumwa malaria,kifua,typhoide na anatumia dawa za...
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepoteza furaha kutokana na watoto kukoseka miongoni mwa wanandoa. Wanawake na wanaume wamejikuta wakiangukia katika mikono ya matapeli wanaojiita waganga...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Maumivu kwenye njia ya mkojo hasahasa wakati wa kujamii na muwasho kwenye pumbu.tatizo ni nini na nifanyeje? Umri wangu ni 24yrz na jinsia ni ME
0 Reactions
11 Replies
8K Views
jana katika hali isiyo ya kawaida wapelelezi kutoka shirika la madawa na chakula TFDA wamepembua pharmacy mbalimbali hapa mjini MOROGORO dhima hasa ikiwa ni kucheki hali ya dawa ya mseto, na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TIBA MBADALA YA MAGONJWA SUGU Kama inavyofahamika katika jamii yetu kuna watu wengi ambao wamekumbwa na magonjwa yanayotajwa kuwa hayana tiba na wengine wapo njiani kuambukizwa maradhi ya aina...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Kipimo cha ‘CT-Scan’ katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kimeharibika na kusababisha usumbufu mkubwa kwa baadhi ya wagonjwa wanaoandikiwa kwenda hospitalini hapo kwa ajili ya kufanyika...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Subject: HIV and AIDS: Correlation but not causation [Published and copyright Proceedings of the National Academy of Sciences U.S.A., Vol. 86, pp. 755-764, February 1989, Review", with this...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
nawasalim woote wana jf. Naomba kujuzwa ni vyakula vp hasa mwana mume anaweza kuvila kuboresha ndoa yake badala ya kutumia dawa za kichina na zinginezo ambazo zina sadikika kuleta madhara...
1 Reactions
48 Replies
16K Views
kwa mwanamke kuna dawa ya kuongeza hamu ya kufanya sex au nini kifanyike kama hamu huna kabisa?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Whether its a large cup of coffee at breakfast, a soda at lunch or a mid-afternoon energy drink; regular endorphins dont always suffice the weekday routine. Austin may be one of the healthiest...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka jana nilipanda bodaboda, gafla bodaboda ile ikaanguka na mimi nikafanikiwa kuruka na kumwacha dereva na ile toyo. Mara baada ya kuruka nilijisikia maumivu kwa mbali maeneo ya goti lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wana JF na FJ Doctor. Kuna dada hapa offisini kwetu akivaa viatu vyenye soli hata nchi mbili tu magoti yanatoa sauti kama ya ile inayosikia mtu akivunja vidole (eehn jamani lugha ngumu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu: mimi ninatatizo moja mara kwa mara nikila pilau kesho kesho yake naharisha halafu tumbo nalisikia kama linawaka moto Kuna mtu mwingine huwa anajickia kama mimi namimi pilau nalipenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama huridhiki na unacholipwa nyumbani, unaweza ukajaribu Namibia. Bila shaka balozi ya Namibia Dar es Salaam itakuwa na taarifa za kutosha. More foreign doctors coming RUNDU– The Ministry...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimekuwa nikisumbuliwa na aina mbalimbali za nematodes tangu mwaka 2005.Nimetumia dawa mbalimbali lakini bado tatizo lipo na huwa naambiwa hao nematodes wamekuwa sugu mpaka wanatengeneza cyst ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…