Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba msaada wenu wa ushauri au sememu nzuri ya kupata matibabu. Mimi nina tatizo la kuwashwa mguu wa kushoto mara kwa mara. Sehemu inayowasha ni chini ya goti ila juu ya kifudo cha mguu. Hamna...
0 Reactions
4 Replies
18K Views
wakuu kuna madhara gani endapo mjamzito atakuwa amevimbiwa au tumbo kujaa gass naombeni msaada
0 Reactions
2 Replies
15K Views
Ugonjwa sugu wa figo hutokea pale figo zinazopoteza uwezo wa kutenda kazi unaotokea taratibu na kudumu baada ya kitambo fulani. Hali hii hutokea taratibu, na huchukua muda wa takribani miezi...
2 Reactions
6 Replies
17K Views
Naomba kufahamu madhara ya Bangi kwani wengine wanasema ni dawa na mi natumia
0 Reactions
15 Replies
19K Views
Just one can of the popular stimulant energy drink Red Bull can increase the risk of heart attack or stroke, even in young people, Australian medical researchers said on Friday. The...
3 Reactions
165 Replies
49K Views
Tafadhali je wajua wapi niende kupima macho hapa dar? Nimeenda mahali mmoja hapo msimbazi lakini sija pata ushauri vizuri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello ! Tunashukuru kwa kuwa sote tuu wazima na tunapumua bila kulipia hii pumzi. Ni kuwa kuna watu wengi sana wanasumbuliwa na magonjwa lakini hawajui namna ya kuyatatua. Wengine wapo busy sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa vilivyojaa maji kwa jina la kitaalam ''Hydrocephalus'' na wenye mgongo wazi ''Spina Bifida''. Takwimu...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Hivi kwa nini kuna watu wanasema wanatoa sumu mwilini, kuna watu wanasema wana vipimo vya magonjwa 29, kuna watu wanasema wanatibu vidonda vya tumbo, kansa, sukari, HIV n.k. Hawa watu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
dk nipeni msaada wenu, nikil chakula usiku nishibe ata nisiposhiba shida kubwa ikifika mida ya saa kumi alfajiri tumbo linajaa gesi nyingi sn, ivyo inanisababishia kujampa sn tena kwa sauti kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari ya leo wana jf doctor,ngja nianze hivi mara ya mwisho nimehave sex mwez wa tano hapo,na nikashika mimba sasa nikawa natoa harufu mbaya sana ukeeni yani kiasi nikikaa na watu wanaisikia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tegu (Tapeworm) ni aina mojawapo ya minyoo inayosababisha ugonjwa unaojulikana kitaamu kama Cysticercosis na hii inatokana na kuwepo kwa viuvimbe vingi ndani ya viungo vya mwili vilivyojaa...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Mjadala umeanza katika maeneo tofauti kufuatia kuchapishwa kwa matokeo ya utafiti kuhusu ununuzi wa dawa zinazohitaji cheti cha daktari, ulioonyesha kiwango cha maelekezo hayo kutofuatwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimesoma taarifa fulani wanasema kwamba baadhi ya wanaume huwa wanakuwa na hamu ya kuingiliwa kinyume na maumbile, ukiachilia mbali tamaa ya fedha. Yaani mwanaume anakuwa na nyege kabisa ya...
0 Reactions
15 Replies
16K Views
Habari wanaJF wote nafikikiri nyote ni wazima.Je siku ya 24 katika mzunguko wa mwanamke(menstrual cycle) kuna uwezekano wa kushika mimba? Naomba maoni yenu wanaJF. Ahsanteni!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The Fetal Period (8 Weeks through Birth) Chapter 37 9 Weeks: Swallows, Sighs, and Stretches Play Movie | See Snapshots The fetal period continues until birth. Play Movie | See...
2 Reactions
3 Replies
11K Views
wadau, friend of mine, ameniambia amekutwa na hlo tatzo baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu, je sababu n nini, na madhara yake baadae?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wataalamu wanasema wamegundua kwamba mbegu za kiume huanza kwenda kwa kasi wakati zinapofika karibu na yai la mwanamke, suala ambalo huenda siku zijazo likasaidia katika kupatikana dawa ya kuzuia...
4 Reactions
3 Replies
4K Views
During sex ktk maeneo ya msichana wangu panakuwa pakavu sana hadi kero hata nikimchezea sana, je ni kweli kuna mafuta yanauzwa kwa ajil ya kulainisha? Msaada pliz
1 Reactions
13 Replies
46K Views
Wengi tumekuwa tukisikia, kujaribu, kuona, kuwahi ama kushawishi kwa namna moja ama nyingine juu ya suala zima la kutoa mimba. Kunamambo mengi yanayoweza kupelekea mtu akafikia uamuzi wakutoa...
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…