Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naamini ni watu wengi sana wana tabia ya kuweke laptop kwenye mapaja na kuzitumia .binafsi nina tabia hiyo pia lakini nahisi kama ina madhara ffulani.naommba kwa anayeweza kutupa mwongozo katika...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kungonoana au kungonoka na kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako) na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Habari zenu wana jamvi .Naombeni msaada nimuokoe mdogo wangu ni mwaka wa pili sasa anateseka. Alianza kwa kusema anaona wadudu wanatoka ukeni..Nikaogopa nkampeleka kwa dactari wa magonjwa ya zinaa...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Mimi nina umri wa miaka 19 nipo form 5. Ila inaniwia vigumu kuendelea vizuri na masomo kwa sababu za kiafya, ninahisi nina kisukari japo sijapima ila dalili zote ninazo kama miguu na mikono kufa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
East Africa Herald: Drinking Water: The Importance
0 Reactions
0 Replies
1K Views
uume kuingia ndani yaani kuwa mdogo pingili moja ya dole gumba la mkono, uume kusinyaa na kuwa mgumu. Maumivu makali kuanzia kiunoni mpaka mgongoni. Misuli ya mguu kuvuta. Nguvu ya kiume kupungua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar wana bodi naombeoni kujuzwa ni nini hiki kinachojitokeza kwenye ulimi wangu kipindi ambacho nimekula chungwa au kitu kichungu chenye ladha ya limao kipele au kidonda humea katika ulimi kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
uume kuingia ndani yaani kuwa mdogo kama pingili moja ya dole gumba la mkono, uume kusinyaa na kuwa mgumu. Maumivu makali kuanzia kiunoni mpaka mgongoni. Misuli ya mguu kuvuta. Nguvu ya kiume...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habari za asubuhi ndg zangu. Naombeni munielekeze ni namna gani naweza kufanya ninapofanya sex ili niweze kumaliza mapema au nisimalize mapema. naombeni michango yenu. natanguliza shukrani zangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF ningependa kujua kuhusu madhara yatokanayo na uvaaji wa miwani kwani nimekuwa nikisikia kuwa kuna madhara,na kama yapo madhara yatokanayo na uvaaji wa miwani(miwani ya macho) kuna njia ipi...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Je nikkweli kwamba mtu mwenye blood group yenye rhesus- hawezi kupata mtoto?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
nasumbuliwa na uume wangu yaani unasinyaa nakuwa mdogo na mgumu ukiambatana na miguu kuwa kama misuli inavuta na maumivu makali ya mgongo na kiuno. Nimepima magonjwa ya zinaa sina, x-ray hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naommba kujuzwa kuhusu hili,Hivi ninini kinacho mridhisha wmanamke wakati wa kujamiana. je niukubwa wa uume au unene,urefu wake.je nikwanini watu wengi wana tafuta dawa za kuongeza maumbile hayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakazi wa Mbagala Kizuiani wametoa kilio chao kwa viongozi wa Serikali ili waweze kuwasaidia kuwaondolea janga la wadudu waitwao Kunguni. Kilio hicho wamekitoa kupitia Times Radio. Katika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Salaam. Kwa wenye uelewa naomba mnipe dalili za mwanzo za TB Nitashukuru kwa msaada wenu. CD
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wadau mm nimezoea kula chakula huku nimesimama (breakfast,lunch, dinner).. Sipendi kabisa kukaa....Kuna madhara yoyote?? Your advice plz MziziMkavu karibu utoe uganga wako
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wanasayansi wanaoendelea na uchunguzi chanjo juu ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ebola wameoambia BBC kuwa, chanjo inayoweza kutumiwa kuzuia maambukizi ya virusi hivyo huenda isifumbuliwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu, Kwa miezi takribani mitatu mfululizo nimekuwa nakunywa dawa aina mbalinbali za amoeba bila mafanikio ya kupona. Ni hivi karibuni tu nimekunywa dawa aina fulani dozi mbili na kufanikiwa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Naomba msaada kwa wataalamu wetu wa afya, hivi ni kweli haya mafuta ya ubuyu yanasaidia kuponyesha ulcers na pia yanasaidia kupunguza weight???? nashindwa kuelewa kwa sababu iweje mafuta yasaidie...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…