Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu wana JF natanguliza shukrani kubwa sana kwa jukwaa hili........ takribani kila siku kumekuwa na Thread humu jukwaani za matatizo ya nguvu za kiume, japo zinakuja katika picha tofauti, nami...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
WanaJF mambo vp? Nimeshindwa kujielewa sijui hili ni tatizo au vp.Sijawahi tumia dawa ya aina yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume lakini cha kushangaza ninaweza piga mzigo mara saba kwa siku na...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari? Nahitaji msaada mwenzenu hali sasa ni tete, maisha yanaenda kombo natamani niwe safarini kila siku. Tatizo ni kwamba I am one minute man. Iko hivi, mwenzenu goli moja hunichukua nwastani...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hello jf guys i need ushauri wenu, imekuwa almost 1 month doing mazoezi lakin still sijapata matokeo mazuri WHAT I WANT TO BE: SIX PACK ABS kupata visible six pack abs. kwa anaejua...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Kifua Kikuu Kinarudi Kwa Kasi - Safari Hii Haitibiki!!! Wadau, ugonjwa wa kifua kikuu kinarudi kwa kasi duniani. Huko London, Uingereza watu wanaambukizwa ile mbaya. Ile tiba ya kawaida ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ugonjwa wa matende ni aina ya ugonjwa unaosababisha ngozi na tishu zilizo chini ya ngozi ya mwanadamu kuwa nene (thickening of skin and underlying tissue).Ugonjwa huu huathiri miguu, mikono...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana jamvi mimi binafsi napenda kutumia fursa hii KUMSHUKURU huyu Mzizi mkavu, kwa kweli amekuwa ni msaada sana kwa ss wana jamvi tulioleta matatizo yetu humu. Shukurani sana mkuu Mungu...
13 Reactions
27 Replies
8K Views
Kuna rafiki yangu amekuwa na matatizo ya kifamilia alitofautiana na mke wake, mwisho wa siku mkewe akawa anataka watengane jamaa akawa anajaribu kila hali kusuluhisha. Japo tatizo lenyewe halikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi nna tatizo ambalo linaninyima raha sana! Tangu naimevunja ungo nimekuwa na tatizo la kutokuwa na mpangilio mzuri wa hedhi. Kwani nnaweza nikapitisha miezi miwili hadi mitatu bila ya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Matatizo na magonjwa ya kawaida Katika sehemu hii, utajifunza kuhusu magonjwa na matatizo ya kawaida ya meno. Baadhi iya matatizo haya huenda yatakuathiri hata kama unatunza meno yako vizuri...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
salaam wana jamvi, hebu tujikumbushe takribani miaka mitano ivi nyuma, kulikuwa na kampeni kubwa naza nguvu sana za kupinga maambuziki mapya ya VVU, katika kampeni izo ilikuwa ikitangazwa katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Matatizo ya akili husababisha tofauti jinsi mtu anavyo fikiria na kufanya mambo Fulani kulingana na uwezo wake wa kawaida. Pata habari kuhusu jinsi chanzo na dalili.Angalia cha kutizama, jinsi ya...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Mwili wa mvutaji sigara Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako. Imebainika kuwa saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza uraibu huu wakiwa wangali watoto...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari, mimi nina tatizo la kunenepa kila nizaapo, nina watoto 3, na wote nimewazaa kwa operation, na mtoto akianza kunyonya nami naanza kunenepa, ila nikiwa na mimba nakonda sana kwa ajili ya...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
Jamani,hivi tatizo la kutafuna ulimi linatokana na nini? Tiba yake ninini? Mie ni miongoni mwa waathirika.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Uso ni sehemu ya kuonyesha uhalisia kwa mwanamke na unapotaka kujua ni jinsi gani mwanadada au mwanamke anapenda urembo basi utamwangalia usoni. Kwa mtazamo huo utaona yule mpenda urembo akiwa...
0 Reactions
18 Replies
28K Views
Mwili wako uliumbwa kwa ajili ya kufanya kazi (manual labour) kama vile kusukuma, kuvuta, kubeba, kutembea, kuruka, kuimba, kucheza, kusakata rhumba, kuinama, kuinuka, kukimbia, kukusanya, kupanda...
4 Reactions
22 Replies
10K Views
wana jamvi, hivi hapa mjini kuna clinic ngapi za asili? na je ipi wanatoa huduma nzuri? asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF naamini wengi wenu ni wasomi mnaweza kunisaidia tatizo langu la kiafya nadhani; Mimi natafuna meno au kusaga meno nikilala usiku, tabia hii ina miaka kama 4 hivi na nilidhani ingeisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarini madoctors na wana jf wenzangu, naombeni msaada, mke wangu ni mjamzito wiki 24 sawa na miezi 6, toka mimba itunge alikua anapata maumivu makali sn ya kiuno, maumivu yakaendelea kupungua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…