Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani unyayo wangu ni mgumu sana kiasi kwamba nikikugusa naweza kukuchuna kabisa na kukutoa damu, nimejaribu kuangalia nyayo za watu wengine naona ni laini sana ukilinganisha na zangu, sasa hii...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
wadau proffesa sousan wa Marekani pamoja na wenzake wa JOHN HOPSKN UNIVERSITY, wamegundua kuwa matumizi ya ARV yanaweza mfanya mtu mwenye HIV anayetumia ARV kusex na mtu asiye na HIV na asipate...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Nimesoma habari katika gazeti moja la kila siku juu ya taarifa za kugundulika kwa dawa ya ukimwi.kimsingi gazeti linapotosha taarifa au mantiki ya taarifa ya wanasayansi.wao wamegundua kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leon Bahati UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Johns Hopkins nchini Marekani, umegundua kuwa matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARV) yanaweza kuwafanya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
From, Dr. Malebo H (NIMR) Please take this seriously and if possible keep a copy at HOME….!!! Make a checklist; check whether this medicine is in your home or whether it has been recommended by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
EAST AFRICA HERALD: Utafiti:Chanjo ya ukimwi yagundulika
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Kutokana na harakati za kimaisha Ndugu yangu wa karibu kapigwa na "stroke" huu ni mwezi wa nne sasa yupo kitandani. Mguu na mkono havijaweza kujimudu hadi sasa ingawa anaendelea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wote, Habari kuu ya gazeti la Mwananchi la Jumatano Februari 8/2012 inasema kuwa mojawapo ya vyanzo vya ugumba kwa wanaume ni kubeba laptop. Habari husika inazingatia matokeo ya utafiti...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Johns Hopkins nchini Marekani, umegundua kuwa matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARV) yanaweza kuwafanya waathirika wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naombeni msaada nina mpenzi pata miaka mitano sasa, ila kila tukiduu napata maumivu makali baada ya kumaliza paka kesho yake nakunywa dawa za maumivu, ila kunastaili akiniweka ndiyo naumwa siku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nina maswali kadhaa naomba mnisaidie 1. ukienda kupima malaria madaktari mnaandika B/S nini maana yake? 2. Kwa nini watoto walioshikana wakati wa kuzaliwa yaani siamen twins hawaezi kula...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Uke na SEHEM YA KUNYEA vinapaswa kuoshwa mara kwa mara na kubakia vikavu. Ni jambo zuri kuepuka kuchangia mataulo na ndugu wengine katika familia au marafiki kwani yanaweza kusababisha kuenea kwa...
2 Reactions
1 Replies
14K Views
Habar jaman, Kwa anayefaham ningependa kujua huu ugonjwa wa fistula dalili zake ni zipi na unasababishwa nini? Ningependa ni faham plz
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Inapata mwezi mmoja sasa nashindwa kumridhisha mpenzi wangu nimekuwa nikijiuliza sana maswali bila mafanikio..sasa leo nimeona bora ilitatizo langu nilitafutie ufumbuzi kwaimani yangu hapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani...
3 Reactions
199 Replies
73K Views
awali nilisikia ni watoto ndo wanaotoka mafuta futa meupe kwenye pua. je sababu ni nini? mimi nina miaka 27 lakini nikiminya pua yangu inatoa mafuta meupe. sababu ni nini wakuu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tohara (Kukata govi) Suna Tohara (kutoka Kiarabu طهارة tahara - safi, tahiri) ni upasuaji mdogo wa kukata na kuondoa govi, yaani ngozi inayofunika kichwa cha uume...
3 Reactions
11 Replies
10K Views
ninatatizo la makwapa yangu kuwa meusii sana, kama kuna mtu anajua dawa naomba anielekeze.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ukitaka kufa mapema au kuondokewa na jamaa yako wewe wapeleke jamaa zako hospitali hizi. Regency is even worse maana madaktari huwa wanakimbia mpaka ndugu wa mgonjwa hali ikiwa mbaya. Hivi...
0 Reactions
61 Replies
11K Views
Heshima kwenu wakuu, nahitaji kumuona psychotherapy hapa dar nitampata wapi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…