Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hi jf! Dr! Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia mlio wa cm yangu ikiita, hata kama haiti. Yaani nikiwa nimetulia, natembea na hata kulala huwa naisikia ikiita japokuwa ina...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo ni mara ya pili wife kulalamika maumivu makali kwenye titi lake anapatwa na kama kichomi au kama kitu kinachoma. Jee wadau ni nn? Naomba msaada ma great thinker
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Siku ukijisikia una ma stress yako mengi, au umechoka sana, ingia humu kabla ya kulala, tafuta thread yoyote ya Malaria Sugu isome, hakika stress zako zote zinaisha na unalala unono. nimeshajaribu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nataka Ushauri wenu Kuna dada mmoja amenijia ana matatizo hayo hapo chini je Wana JF Naombeni Ushauri wenu nimsaidie vipi? haya someni matatizo yake hapo chini Mimi nimemsoma dada ditto kuwa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Jf natumaini tumeupokea mwaka vizuri na kwa upande wangu naona nimeupokea mwaka vizuri zaidi maana nina ujauzito unaelekea miezi mitatu sasa bado sijaanza kliniki tatizo langu ni hili hapa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
habarini jamani nilikuwa nauliza ni kweli walamirungi wanado kwa mda mrefu bila kuchoka au ni uzushi 2?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
JD please kwa yeyote anayeweza kunisaidia mafuta au lotion ambayo inaweza kufanya uso wangu uwe soft bila chunusi wala makovu. Nimetumia mafuta na lotion ya kila aina lakini naona kama namaliza...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Utafiti uliofanywa na vituo bingwa duniani unaonyesha kuwa watu wengi akili(brain) inaanza kupwaya pindi unapofikia miaka 40 na kuendelea. Hii imeushangaza ulimwengu ukioamini kwamba akili ya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wakuu najua hapa JF hasa hili Jukwaa la JF Doctor kuna hazina kubwa tu ya information ningependa kufahamu wapi naweza kupata Dermatologist mzuri hapa Dar Es Salaam. Kwa anayefahamu atakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
utafiti wa hivi karibuni umegundua kwamba walaji wa junk/fast food kwa wingi wanahatarisha afya ya akili, hasa watakapofika 45+yrs. Badala yake SAMAKI, MBOGA na MATUNDA ndo mwendo wa kijanja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kituko cha mwaka kimeibuka katika hospitali ya wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, baada ya daktari mmoja wa upasuaji hospitalini kumuacha mgonjwa kwenye kitanda cha upasuaji na kukimbilia...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikuja hapa na threat ilikuwa inasema Mimba Calculation watu walitoa details za mda wa kuzaa mara baada ya kupata mimiba. Na mwisho wa siku jibu nililolipata ni kuwa yule mwenye mimba anatakiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
uchunguzi uliofanyika hivi karibuni katika nchi za kiafrika umeonyesha kuwa ,wanaume waliotahiriwa wana uwezekano wa kutoambukizwa ukimwi kwa asilimia hamsini.UJUMBE; tuwapeleke watoto wetu...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
haziharibu 'mashine' ?
1 Reactions
25 Replies
4K Views
habari zenu wana JF nimesoma kwenye gazeti yakwamba laptop humaliza nguvu za kiume hasa pale unapotumia internet [ ukiipakata kwenye mapaja ] swali langu ni hii:: hawa dada zetu wanavyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba kujuzwa ni wakati gani mzuri kula matunda? Ni baada au kabla ya mlo na ni nini faida au hasara zake?
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nataka msaada mwenzenu nimeachwa mdomo wazi baada ya kumuona mke wa jilani yangu kajifungua mtoto akiwa na meno mawili mdomoni. hii hutokana na nini na inaweza kuwa na athari gani msaada plz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi kuna speshalisti wa wanaume? Anapatikana wapi? Kuna maradhi ambayo kama mwanaume unatakiwa kukutakana na daktari bingwa na umweleze akupa ushauri au matibabu accordingly. Hii ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…