Salute. Niende kwenye mada naombeni msaada kama kuna madaktari humu wabobezi ni hivi nasumbuliwa na tatizo LA damu kuzidi niliambiwa hivyo baadae ya kupima niliambiwa ni 17.
Ndugu inanipa shida...
Jamii forum imesheheni watu wengi wa caliber tofauti kuna madaktar humu
Ipo hivi last salary kwa wife ilikuwa ilikuwa tar 28 mwezi wa 11 then kamaliza net pay tar 2 mwezi wa 12 ,
Sasa...
KWANINI WAGONJWA WENGI WA PRESHA HUPOTEZA MAISHA GHAFLA BAFUNI
BAFUNI
Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza unatakiwa ujue mtu mwenye shinikizo la damu hashauriwi kabisa kuoga maji ya...
Habari wadau.
Nasikia kuwashwa baada kukujoa mkojo ila muwasho mkali baada ya kufanya mapenzi ndani ya kwenye njia ya mkojo. Nimeenda hosptali Daktari Kanipa amoxclav.
Leo siku ya tatu nakunywa...
Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu.
Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila...
Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa.
msaada tafadhali.
haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
Wakuu natumaini mko poa .
Nimetumia dawa nyingi lakini kifua hakiponi. Juzi homa ilipanda lakini nimepima malaria nimeambiwa sina
Mimi sio mtumiaji wa sigara au pombe kali.
Chaajabu ni watu...
Wakuu,
Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana...
Kiasi na muda wa kutokwa na damu ya hedhi kwa ufanisi wa homoni ya ''estrogen'' kunaweza kutofautiana sana, kulingana na muda na kiasi cha homoni ya 'Estrogen'' kilichopokelewa na tabaka la ndani...
Ipo hivi wakuu, kuna ndugu yangu ana tatizo la HOMA YA INI(Hepatitis B) kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka kumi sasa ila ukimcheki yupo fresh tu.
Tulienda Muhimbili akapimwa akapangiwa clinic kwa...
Natumai nyote mu wazima wa afya naombeni ushauri
"Mdomoni kumebadilika rangi na kupata utando mweupe ndani ya mdomo na ulimi wote, tumbo kuunguruma na maumivu mara mojamoja kooni na maumivu ya...
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na...
Salama wakuu
Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.
Sasa baada ya...
Mpak sasa xijui nianzie wap ni ixhie wap korodan zang zina sumbua nisha 2mia idad kubw ya madaw ya hospital mpak nikitoa jasho ni dawa tu nikitembea korodan zinachoma yaan burning pale napo amka...
Jamani mwenzenu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo na kila nikipima naambiwa nina amoeba na madawa nimetumia aina zote lakini sijapata naafuu yoyote,msaada kwa anayejua tiba kamili...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini...