Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ukimnyonya busu mwanamke akiwa amepaka Lipstick jiandae kuwa na tatizo la figo (disorder), uvimbe kwenye mapafu na tumbo maana kwenye Lipstick kuna vyuma vya cadmium, aluminum, chromium n.k...
4 Reactions
9 Replies
777 Views
Habari ndugu zangu, Nina umri 23, nimepata tatizo la maumivu makali ya nyonga (kiuno). Nimesha fika hospitali zaidi ya mara 2 na nimetumia dawa za vidonge na kuchua, pia hua zinapunguza maumivu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanaJF? Mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi 6, anasumbuliwa sana na Vipere. Nishampeleka sana hospitali, lakini dawa zote anazipewa hazimsaidii, akitumia dawa Vipere vinapotea kwa...
1 Reactions
6 Replies
617 Views
Ninapenda kurudisha huu mjadala hapa kwa manufaa ya wengi kuliko kuongelea private ambapo wengine hawapati uelewa halisi. PEP tunajua ni dawa ya kutumia pale unapo hisi umaweza kuwa umakutana...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wadau kuhusu ugonjwa huu Wataalamu poleni na majukumu ya kuhudumia afya zetu, Mimi nina tatizo la ugonjwa wa Vitiligo, lips ya chini imebadilika colour na...
1 Reactions
198 Replies
88K Views
Lengo kuu la kuongezewa njia wakati wa kujifungua (Episiotomy), ni kuzuwia kuchanika kwa msamba (perineal tear) au kukaza kwa misuli kupita kiasi ambapo huweza kupelekea sehemu ya haja kubwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habari wana JF, Kwa wanaotoka mikoa arusha, kilimanjaro au manyara si neno geni sana kwao mikongoraa ni aina fulani ya mizizi ambayo husambazwa mtaani na kutafunwa sana na wenyeji wa mikoa hiyo...
3 Reactions
47 Replies
38K Views
Nisaidieni nitumie nn chunusi ziishe na madoa doa usoni nna miaka 20
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Fupakola (Clavicle) ni mfupa unaounganisha mkono na mwili, huitwa Mfupa wa Kola (collarbone), ni mara chache sana kuvunjika kwa muundo huu wa mfupa. Wanaume huathirika zaidi kuliko wanawake...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu.. Week2 zilizopita nilikuwa Shinyanga. Kule kulikuwa na baridi kali Sana. Naweza sema baridi ya kule ilinikataa kabisa. Maana kila baridi linapokuwa Kali ndio napata maumivu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman naombeni msaada kwa anae faham nina sumbulia na tatiz sehem ya korodan yani napokuw natembea panachoma mno kwa kizungu wanaita stinging au burning mpak sehem ya aja kubwa inatokea wakat wa...
1 Reactions
6 Replies
437 Views
Jamani kama kuna yoyote ambaye aliwahi kupata tatizo la kuwashwa na kuvimba mwili na akapona kabisa atuelekekeze wenzie kwani tumeangaika sana hospitali tukiambie tuache kula vitu mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hello, mimi huwa nakaa sana vijiweni saa zangu za mapumziko baada ya kazi, na mara nyingi huwa naongea issues nyingi sana na washikaji. Na kama kuna issue ambayo nimeona imeleta ubishani sana...
51 Reactions
1K Replies
620K Views
Nashangaa watu wanauziwa madawa ya unga mengine hawajui yamechanganywa na nn tena kwa bei gali wakati dawa ya nguvu za kiume ipo kwenye maji yaliyotuzunguka Sasa niwaambie uume ni kama jicho tu...
10 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika maeneo ambayo tunapokezana sana vifaa vya kulia chakula ni migahawa ya kitaa na maeneo ya wauza supu. Unakuta kijiko kimoja kimepita kwenye midomo ya watu 20. Ninachotaka kushauri hapa ni...
1 Reactions
14 Replies
539 Views
Habari zenu wataalamu, nimekunywa dozi ya PEP kwa siku 23 mfululizo, nilipoteza vidonge 5, jana usiku sijakunywa. Nili-google kuhusu mazingira hayo ya matumizi ya PEP, jibu nilikutana nalo n kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama nilio anza juhudi zangu za kupunguza uzito, huu ni mwezi wapili kwa kutumia mfumo ule ule wa kula mlo moja mboga za majani sana na kuepuka vyakula vyenye wanga sana kama chapati ugali na...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Jicho langu moja LA kushoto miezi 5 iliyopita nilianza kuhisi lina uono hafifu,badaye nikaanza kuhisi jicho kama linajiziba kama linajifunga wakati huo huo miale ya mwanga ikawa inaniumiza sana...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari mimi naomba kufahamu hospitali ipi kwa sasa ni nzuri na ya kisasa kwa mama mjamzito kipindi cha kujifingua kati ya hizi; Aghakhan hospital Premiercare clinic Sali international...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…