Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kizuri kula na nduguyo Wangapi mmepata chanjo? Na kwa ambao hamjapata mnajua hili swala?
3 Reactions
72 Replies
7K Views
bofya link[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] link hapo juu kuangalia video na kujifunza kuhusiana na ganzi miguuni na maumivu ya mgongo usisahau kusubscribe kwenye channel ya physioplus_dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jee kuishi na maambikizi ya tetenus kwa zaidi ya miaka miwili
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bango linajieleza wadau napenda sana kahawa hasa ya kienyeji nikishakunywa tu hapakaliki home wife sometimes akiona nakunywa anasepa kokote. Kinachotokea nakosa subira no excuse hapakaliki hii ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ilianza kama utani tu nikiwa nimekaa mwenyewe chumbani kwangu wakati nimeingia kwenye mitandao ya kijamii kuchati na kusoma yanayoendelea humo, ila baada ya muda nikaona mbona hamna jipya humo...
5 Reactions
49 Replies
15K Views
Jana niliweka topic hapa inayohusu chanjo ya Hepatitis B. Maswali yamekuwa mengi PM na mimi muda wa kumjibu kila mtu sina wakuu. Basi naomba niweke majibu hapa japo wenzangu watajazia. Hepatitis...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni kwa mwenye uelewa anisaidie.nateseka sana kuna muda vinawasha sana. Nimeenda hospitali mara kadhaa ila bado sijapata nafuu.mnisaidie ndugu zangu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nililazimika kumsindikiza mke wangu hospital kupima mimba kwa ultrasound. Alipohudhuria clinic Mara ya mwisho nurse alisema mke wangu anaongezeka kilo kwa kasi sana, na Umri wa mimba hauendani...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Muamini au msiamini mimi nilikuwa muhanga wa punyeto na kupungiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Lakini kuna thread mbili zilikuja humu moja ni kuhusu kitunguu maji, mkaa, mkate na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari Wana JF. Kwa majina naitwa Sara... wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant... Tarehe 27...
0 Reactions
85 Replies
13K Views
Wakuu salaam Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Naomba kuuliza Hospitali gani nzuri kwa kupima magonjwa ya tumbo kati ya IKONDA na zile za Dar es slaam kama vile Regency, TMJ...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, naomba kuuliza dawa za UTI zinaweza kubadili MP, maana huyu mke wangu aliugua UTI akatumia dawa mwezi wa nane tarehe 10, akatumia amoxyclav, sasa alitakiwa aingie MP tarehe 24/08/2019 na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamii Nmeanziasha uzi huu mahususi kabisa kwa mafund sanifu wa vipimo vya magonjwa ya binadamu. Hawa wanapatikana kitengo cha maabara ukienda hospital Ni watu muhimu ingawa jamii...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
NJIA ASILI YA KUPUNGUZA UKUBWA WA MIKONO,MATITI NA TUMBO [emoji522]Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini [emoji522]Leo tutavitumia viungo hivi...
3 Reactions
30 Replies
83K Views
Hello Jf ARV stand for Anti retroviral and literally mean drugs against HIV that cause human immunodeficency syndrome (AIDS) The following are know benefits of using ARV 1:It reduce the HIV...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Wakuu na wataalamu, Je Mwanamke ambae amekuwa akishiriki anal sex na mpenzi wake, Je anaweza shindwa kujifungua? Je anal sex inaweza msababisha akashindwa kusukuma mtoto? Wataalam na wanawake...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 sasa. Mnamo mwaka 2002 nilipokuwa form II nilianza kusikia kaharufu flani hivi kabaya kabaya kanatoka kwenye mwili wangu kaharufu ka uvundo sio uvundo mkojo sio mkojo...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Hii ni mada ya madocta waliosoma tena wakaelimika, hivo ngumbaro piteni hivi Inasemekana huu ni ugonjwa ambao unamuwehua mtu bila kupenda, yaani unajikuta kichaa bila kupenda paranoid shizophenia...
0 Reactions
6 Replies
822 Views
Wakuu, nikiwa sijanywa ugimbi nakoja mkojo wa njano ila nkila ugimbi mkojo ni mweupe pee rangi ya maji.
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Makala hii imeletwa kwako na AFYA ZAIDI CONSULTANTS, Wataalam na washauri wa afya na vipodozi. Kwa elimu na ushauri zaidi tafadhali tembelea website yaowww.afyazaidi.org Kuwa mjamzito ni kitu...
4 Reactions
3 Replies
37K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…