Mama anashauriwa kumnyonyesha mtoto wake maziwa pekee kipindi chote cha miezi 6 ya mwanzo. Mtoto atakapofikisha miezi 6 ndipo amuanzishie vyakula vya nyongeza huku akiendelea kumnyonyesha...
Ukimwi upo na bado hauponi lakini mwaka 2008 ilikuja break through kubwa kwa wagonjwa. Dawa za ARV zlionyesha uwezo wa kumaliza vidudu vyote vizungukavyo kwenye mfumo wa damu. Wanaita kufubaza...
In the ages between 45 and 55, menopause occurs. At this time, particularly in the progesterone and estrogen, menstrual cycles are finished and levels of hormones are dropped.During menopause, you...
Kwa nini watoto wachanga wanalia?
Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya njema kabisa wanaweza kulia kwa jumla ya wastani wa kati ya saa moja mpaka matatu kwa siku. Kwa...
Kama wiki hivi napata maumivu ya maeneo ya kitofu kwa chini ni kama maeneo ya mavuzi kwa ndani hali inasababishwa sanasana na mazoezi ya mchezo wa mpira ,maumivu yanazidi zaidi ninapokuwa uwanjani...
Mimi ni mtumishi wa umma kada ya Afya, nafanya kazi katika mkoa wa Njombe karbi na mji wa Makambako. Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kwa yeyote aliepo kati ya mikoa hii;-
>Mwanza...
Ndg zangu habari za kazi,Mimi nina tatizo la kuhis naumvu wakat wa kukojoa,pia pale mkojo unapokuwa unaishia ishia mwishon naona matone ya damu,hili shida itakuwa ni nini,na matibabu yake yapoje...
Salamu JF Dr.
Mimi na mpenzi wangu ambaye nimemfundisha kusquirt na sasa ni mtaalamu wa hali ya juu. Kwa hivi sasa ni mjamzito, je kuna madhara yeyote akiendelea kusquirt wakati wa ujauzito wake...
Jana nilikaribishwa kuungana na familia ya rafiki yangu mmoja kwa ajili ya chakula cha mchana vitu vilivyo andaliwa mezani ni pamoja na sahani iliyokua na vitunguu maji vikiwa vimemenywa na...
Kuna vipimo gani unaweza fanyiwa kwa mtu anayeonekana kuwa na tatizo la nguvu za kiume? Je watu wanaosema wana upungufu wa nguvu za kiume wanapitia vipimo gani kubaini tatizo au ndio ishu ya...
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dk Elineema Meda, amewashauri vijana kupima vinasaba (DNA) kabla ya kuona ili kuepuka kupata watoto wenye ugonjwa wa...
Wapendwa salaam.
Katika maongezi ya kawaida niliwahi msikia mtu akisema kuwa kikawaida shahawa zinapomwagwa ukeni hazitakiwi kushuka/kuchuruzika (kutoka ukeni).
Lakini endapo mwanaume...
Umeshawahi kukusanya zile chapati mbili na supu unaanzia kama kifungua kinywa asubuhi
Ugali, wali au makande mchana
Wali jioni.
Ukuvikusanya vyote pamoja utaona mlima wa chakula unao ingia...
Salaam wadau,
Nina vijisenti kadhaa nilidunduliza toka mwanzoni mwa mwaka kwa lengo la kuja kufanya checkup ya afya yangu mwishoni mwa mwaka huu.
1)Kwa anayefahamu gharama za kufanya body...
Miongo mingi iliyopita wanaume na wanawake walivaa nguo zinazofanana kwa uundwaji.
Yaani yote yalikuwa ni kama blauzi na sketi. Miaka ya baadae yalikuja kutofautiana.
Je, kwa ni kwa sababu...
Habari za jukwaa,
Kwa muda wa wiki mbili sasa nimekuwa nikiliona hili tatizo likinitokea. Mwanzo nilidhani ni kawaida labda kutokana na kufua itaisha siku inayofata lakini hii imekuwa tofauti...
Habari ya mda huu!
Mimi ni mjasiriamali napatikana Dodoma,pia ni muuzaji wa mbegu wa CHIA SEEDS.
Hizi mbegu zinasaidia sana katika afya zetu na zinatumika kuchanganyia kama kwenye uji,juice na n.k...