Wajuzi mnisaidie, huyu mwanamke alitakiwa aingie MP kuanzia tarehe 24/08/2019 lakn mpaka leo hajaingia ila dalili zote anazipata ikiwemo maumivu yale anayoyapataga akiwa period!
Wiki iliyopita...
Hii Nyongo inategemea ntu na ntu, kuna wanaoitoa kwa kutapika wengine kwa kuharisha na wengine huwa hawapati kwabisa.
Hivi hii nyongo kisababishi chake ni nini haswa? kwasabu utasikia mlevi...
Unywaji maji kwa wingi unasaidia kuimarisha afya ya ngozi na kuifanya ing’ae, iwe laini na yenye muonekano wa kuvutia zaidi. Zipo faida nyingi zilizozijificha za kunywa maji mengi, kupunguza...
wakuu naombeni msaada wa jinsi ya kumsaidia huyu shemeji yangu mdogo wake na mme wa sister kiufupi jamaa alikuwa mzima kabisa tatizo lilimuanza mwaka jana baada ya kuanza kusoma chuo hapo...
Huyu demu tunafanya naye kazi ni muda huwa namwona ananitega tega. Leo nmempa lift tumetoka job akasema tupigie sehemu ale kabisa maana anaishi peke yake.
Nikaona haina noma...nikampitisha kala...
Kuna jamaa yangu mmoja alioa siku nyingi kama miaka mitano sasa muda wa miaka 3 mitatu hawakujaliwa kuwa na mtoto. Ule mwaka wa nne wamefanikiwa mtoto. Sasa shida imekuja huyu mume kumbe kabla...
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna...
Hapa nilipo ni mwezi sasa unakatika kila siku lazima nimeze diclopa mbili asubui na jioni laa sivyo nitashindwa hata kuamka kitandani maana maumivu ya kichwa yananisumbua kweli kweli napata mafua...
DONDOO YA LEO
Matatizo mengi ya kiafya huwakumba watu wote. Kuna matatizo mahususi kwa wanaume pekee pia wanawake.
Wanaume wamekuwa watu wa kutotilia manani dalili wanazozipata hivyo kushindwa...
Wanajamvi Mungu ni Mkuu bado twapumua;
Kama nilivyotangulia kudokeza hapo juu,nikwamba nimekuwa nikipata shida sana (maumivu) nikimeza kitu chochote
.
Eneo la kidaka tonge! Ni kwa siku mbili...
Leo nimeenda hospital na Nimeona kuwa nina vidonda vya tumbo.
Lakini nimenunua dawa, nikatumia sawa sawa tu.
Na sasa nimegundua ime expire!
Nina wasi wasi sana,
Nifanye nini?
Hello wadau wa JF nawasalimu
Wadau Nina ndugu yangu na ni rafiki wa karibu kabisa yeye anaumri wa takribani miaka 37 hivi ,anashida ya kuto kusimamisha vizuri yani machine ikisimama tu mpaka...
Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka.
Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea...
Mzunguko wa tendo zima la ndoa huwa umegawanyika katika nadharia kuu nne ambazo kwa lugha ya kiingreza huitwa excitement (kusisimka),plateu,orgasim (kilele) na resolution (kurudi katika hali ya...
habarini wana JF, ni muda mwingi nimekaa hapa nakusoma maswali mengi humu, mimi leo napenda kuandika au kuelimisha watz wenzangu kidogo kuhushu kiasi fulani moyo na nini cha kufanya kinapokutokea...
Habarini wana jamvi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, jana usiku majira ya saa mbili nilipita mgahawani kwa ajili ya kupata meal. Nilipata chakula freshi tu kama ambavyo imekuwa...
Habarini za wakati huu..
Mm ni fundi viatu aina ya culters (maasai shoes) kazi zetu zina tegemea matumizi makubwa sana ya gundi .
Naombeni ushauri kwa anae jua madhara ya kiafya ya hii arufu ya gundi
Nimemgegeda mwanamke mmoja nikiwa nimevaa kondomu sasa wakati nimepiga bao nachomoa dushe hili nibadili nivae nyingine nikakuta kondomu imesogea mbele yaani nusu ya dushe ilikuwa wazi na wakati...
Habar wakuu,
Naombani mnisaidie tatizo langu, skuizi za karibuni nmekuwa na mhemko mkubwa sana wa kuwa na hamu ya kufanya ngono napatwa na hisia kali sana mpaka nashindwa kujizuia na isitoshe sina...