Wakuu na mchumba wangu nimempa ujauzito na nilikuwa na process za kufunga ndoa lkn nipo njia panda baada ya kumpeleka clinic kupimwa ukimwi na tukatoka salama wote shida ikatokea upande wa group...
Meno ya mbele yameoza nimeshauriwa nisiyatoe niweke crown ,nahitaji kufahamu hospital nzuri au daktar mzuri kwa ajili ya huduma hyo, gharama zake pia zikoje kwa wenye uzoefu naomba muongozo si vby...
Mwanzo nilisita sikujua options za mboga bila nyama. Baada ya kuacha kula nyama nimegundua options ni nyingi sana tena mno.
Si nyama tu bali hata vyakula vya wanga nimepunguza sana. Nina mpango...
Kwanza naanza kwa kuwapa pole na majukumu ya kila siku wana jamii wote, ivi hii tabia ya watoto Wachanga kukataa kunyonya maziwa ya mama na kunyonya vidole inasababishwa na nini??.. Msaada wadau!!!
Habari wakuu?
Naomba kufahamu vitu vifuatavyo ili niweze kugharisha meno yangu kutoka unjano uliokelea nipate tabasamu zuri?
Gharama za ku bleach/ whitening kama ni kwa jino au kinywa kizima...
Habarini ndugu.
Naomba Kama kunamtumishi wa Aghakani ya mwanza ama Kuna mtu anaifahamu gharama za pale husipitali hasa kwenye vitengo vya ENT Anijuze au nipate mawasiliano yake maana nimesumbuka...
Wakuu wangu, wenye ku experience tatizo kama langu naomba msaada.
Hivi karibuni, around miezi kadhaa imepita, uwezo wangu wa macho umeanza kupotea, kiasi cha kupata tabu kuingiza vocha usiku hadi...
Wasalaam,
Mwaka jana mdogo wangu alisadikiwa kumpa ujauzito binti wa jirani ili kupisha mambo mengine tukamwonya na kwa sababu binti yule alikuwa anaendana naye tulimsihi atulie ajifungue ikiwa...
Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai.
Picha znajionesha tatzo linalonikabili ni hili hapo kwenye picha
Jamani naombeni msaada pliz. Kuna kipind nlipima hosp nkakutwa na tatizo la homon imbalance, nikawa sipat perio vzuri, sasa ishu ni kwamba tokea nimegundulika na hilo tatizo, nimeanza kuota...
Habari za hasubuhi wadau natumaini wazima
Uzi nilikua niulete kwenu siku nyingi lakini nikakosa muda
Achaniandike kwaufupi stori nyingi zinachosha, kamaunashindwa kurudi tendoni mara ya pili...
Tatizo hili linasumbua sana, nani anafahamu dawa yake, yani ndani ya mdomo nimeshajiuma vya kutosha yani hadi inakua siyo vzr
Msaada wakuu kwa anayejua dawa
Uganda. Mlipuko wa lori la mafuta nchini Uganda umesababisha vifo vya watu tisa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Tukio hilo limetokea siku ya jana jioni katika kituo cha biashara cha Kyambura...
Wanabodi mwenzenu hapa nasumbuliwa na tumbo kuuma chini ya kitovu pamoja na kunguruma ikiambatana na homa kali.miguu kukosa nguvu na viungo vya mwili kuuma.
Nilikwenda Aghakan hospital kwa ajiri...
Mwanamke ambaye anayefanya kazi ya ubinadamu inchini 'Nigeria katika Mfuko wa ubinadamu, Adamawa State amaye anatoa huduma kwa mama mjamzizito nchini Nigeria. Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya...
Ulikuwa unajua asilimia 41% ya wanaume Tanzania huwahi kumwaga ?
Kumwaga nini ?
Ni hatua ya mwanaume kurusha nje shahawa (Mani) yake hiyo ndio maana ya "kumwaga".
Kuna aina mbili za kumwaga ...
Nina miaka 27 kuna madhara gani kukaa bila kufanya mapenzi mpaka sasa Nina mwaka sasa sifanyi Na sifanyi hata punyeto japo napata wakat mgumu sana
Je kuna madhara au kufanya mapenzi nikujiendekeza tu
Huu ni ugonjwa gani? Nini kinasababisha?
Kama unameza mate unakuwa kama unameza mchanga, koo linakwanguka hivi.
Imesababisha kupiga chafya kwa wingi na kulundikana makamasi mazito puani...
6 years as a medical practitioner (MD)& 1 year as a nutritionist this has been my experience with food & dietary supplements
For any
I hear it all the time from my patients: "Dr.Brenda I'm...