Habr za asubuhi...
Samahan mimi ningependa kujua kuhusu gental herpes...
Nina boyfriend wang anahic anatatizo hilo lakn kwa upande wang cjwah ona hiyo kitu wala dalili yyt ..
Je kuna uwezekan wa...
Wasalaamu ndugu. Poleni na mihangaiko ya kila mara. Binafsi siumwi, ila rafiki yangu anaumwa sana kama nitakavyoelezea hapa chini.
NOTE; Pamoja na kuumwa kwake huku kama hajakwambia huwezi jua...
asaalam wana jamii.
nina dada yake na rafiki yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu kidogo.
anavyotuambia mwili wake mzima unakuwa kama unaungua moto, hasa miguu mpaka sehemu za siri na makalio...
Chanzo chake ni nini?
Na mwanamke akipata shida hiyo anatakiwa afuate taratibu zipi? Na kupata ujauzito mwingine ni muda gani umependekezwa kitaalamu upite? Naomba majibu madaktar na wataalam wengine
Salaam watu wa hapa
Nina mtoto wangu wa kike ana miaka 6 ,mwezi wa kama sokosei wa 2 aling'oka meno ya mbele upande wa juu na chini
Sasa ya chini yameshaota ila ya juu Yale makubwa mawili hadi...
Habari wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja sasa ni miezi nane yapita tangu mimi na mwenzi wangu tuanze kutafuta mtoto , katika kuhangaika kuna mtu akamshauri atumie mbegu za nyonyo akatumia...
Naomba msaada wa kujua ni aina ipi ya sukari isiyo na madhara mwilini
1. Sukari iliyochemshwa kwenye chai ikachemka sana,
2. Sukari nyeupee iliyo korogwa kwenye chai papo hapo na ikanyweka,
3...
Habari za jioni wakuu. Natumaini mmeitumikia vizuri wiki hii na sasa tubaelekea wikiendi..
Nina ndugu yangu tumelelewa wote tangu watoto na sasa tumekua na kujitegemea kabisa lakini ndugu yangu...
Nimewahi kusikia kuwa ntulantu ni dawa japo sina uhakika, naomba kufahamu kama kweli ni dawa na kama ni dawa je inatibu ugonjwa gani/kitu gani na matumizi yake yapoje?
Siifahamu kwa jina lingine.
Hello Jf Members nawasalimu nyote,Ninatatizo la maumivu makali sana ya mgongo wakati wa usiku na kushindwa kulala wala kukaa ,haya maumivu yakianza ni shida na Mara nyingi huanza usiku kama saa...
Ndugu zangu nimepatwa na tatizo. Kwa kifupi najitahidi sana kuwa msafi ila sikua najua kunguni wanafanana vipi mpaka baada ya kuwaona kwa jamaa angu mmoja ambae nilishukia kwake.
Baada ya kumwa...
Habari za muda huu wakuu wa Jf , Leo asubuh saa 12 wakati naamka ghafla niliona damu zinanitoka puani nilichokifanya nikanawa uso then nikafanya kama vile napenga makamasi halafu nikarudi kulala...
Habarii ya Muda huu wakuuu,
Kilichonifanya niandike uzi huu ni mkasa huu ulionikuta, Juzi kati nilienda hospitali kupima baada ya kujisikia vibaya wakaniambia nina Malaria wakanipa dawa inatwa...
Habari zenu wana JF
Naomba kuuliza kwenu kama kuna mtu anafahamu vyakula vinavyoboresha akili ya mtu. Nimewahi kusikia kuwa vitunguu thaumu ni moja ya vyakula hivyo lakini aliyeniambia alionyesha...
Habari za sahizi wanajamvi,
Naombeni msaada wa kunijuza ninasumbuliwa na ugonjwa gani nina muda wa mwezi sasa nimekuwa nikipata maumivu ya kiuno, kuchoka kwa mwili lakini pia hali imendelea kuwa...
Cranberries are small acidic berries which grow on evergreen shrubs that are native to North America. They were first harvested by Native Americans and later by the Europeans. The Latin name of...