Habari za wakati huu wanajukwaa!
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi, katika siku za karibuni nimekuwa nikishuhudia ongezeko la idadi ya watoto mapacha kuzaliwa na hili ni kwa watu...
Wadau,
Mimi naomba mniambie kama nina kibamia ama sina maana uume wangu ukisimama urefu upo sawa na urefu wa peni ya Obama japo naizid kidogo sana na unene ni inchi 4 kamili.
Je, hiki ni kibamia...
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea...
Habari zenu wote wana jamii.
Mara nyingi umewahi kusikia wanawake wakichukia kwamba wenza wao wamekuwa wakipatwa na usingizi mara wamalizapo tendo la ndoa. Kama ujasikia hali ya kuwa wewe ni...
Kitaalam wanasema kuwa kuacha magonjwa za zinaa au fungus, Uchafu ambayo huleta harufu mbaya kwenye uke , huwa kuna harufu ya asili ambayo hutoka kwenye uke hata uwe msafi vipi huwa ipo...
Siku chache zilizopita nilipewa asali lita tano kama zawadi. Baada ya kugawa baadhi kwa jirani zangu nikabakiwa na lita ka 3. Niko pekeangu so nikawaza ntawezaje kuitumia hii asali iishe...
Metformin has been found to help reduce glucose production in the liver, which is a problem in type 1 diabetes. Two, people often form resistance to the insulin they take, and metformin can help...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wataalam naomba mnielekeze kama kuna njia yeyote ile ambayo inaweza ikatumika kwa mwanamke ili aweze kubeba uja uzito wa mapacha!
Napenda ziwe njia za asili...
Salaam
Naomba mnisaidie wataalam kama kuna chombo au njia rahisi inaweza kutumiwa kuona vein mapema..Nilikuwa na mtoto wangu hospitali anaumwa kila madaktari wakijitahidi wamuekee maji...
Rejea kichwa cha habari hapo juu nna mtoto Leo siku 4 hajapata choo ,nlimuona daktari akanambia n kawaida ila nna wasi wasi ,naomben msaada wa kitabibu kwenu madaktari hii hali inasababishwa na nn...
Wadau mwenye ufahamu kwenye hili tatizo,nakoroma sana nikilala na hali hii siipendi sinywi pombe,siyo mnene,ila tatizo linanitesa kuna dawa au njia yoyote kupunguza tatizo hili pls nipo serious
Mimi ni kijana tu ila nasumbuliwa na maumivu ya mgongo,, maumivu haya hutokea pale ambapo nimekaa mda mrefu kwenye kiti (3hrs+) pia pale ambapo nimesimama mda mrefu (1hr+) kiasi kwamba ukitoka...
Habari za jioni wapendwa nasumbuliwa na mapele kichwani na kwenye ndevu,hivyo nilikuwa naulizia kama kuna mtu mwenye ufahamu wa dawa nzuri ambayo inaweza saidia.
JF members samahani naomba kuelewa nna ndugu yangu ana ugonjwa wa ngoz lakin nimezunguka hospitali kadhaa nikapewa baadhi ya dawa ila zote ni kama zina tuliza tu na baadae ugonjw unarudia hadi...
Wakuu nchini kenya kuna taharuki ya hatari sana make ndani ya mwezi mmoja hivi na wamepoteza viongozi watatu.kwanza ni CEO wa Safaricom then Mbunge na sasa Gavana.
Wanamjadala mkubwa sana na...
Habari wana Jf Doctor, kama kichwa cha habari kinavoeleza naombeni kujua sababu zinazosababisha joto la mwili kupungua maana joto langu la mwili limepungua wakati mwingine jioni mikono yangu...