Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mnamo mwezi wa 6 mwishoni nilitumia dawa ya kusafishia kinywa mouth wash menthly peroxide!! Ni ilie tu nimeweka kinywani misuli ya kinywa katikati ya meno ikaanza kukakamaa! Meno na fizi misuli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina bibi yangu ana umri wa miaka 85 sasa hivi, ana matatizo ya mifupa kwani kile kimiminika kati ya mifupa (yaani viungio vya mifupa) imekwisha hivyo mifupa yake ya miguu inasagika kwa msuguano...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari Natumaini wazima wote,na mnendelea na mapunziko weekend.... Rafiki yangu wa kike ... Anashida ya kutokwa damu kwenye kitovu .tatizo hili lina muda hivi sasa linamiaka mitatu hivi damu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii? Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Tatizo langu sijielewi afya yangu kwa sasa kutokana na sababu nitakazozieleza na ningeomba msaada wa kiushauri. 1. Sina hamu na kufanya...
0 Reactions
54 Replies
11K Views
Nimeona dalili ya gono (usaha katika uume wakati wa asubuhi. Nimemuonesha mke wangu ambaye ametoka kujifungua wiki tatu zilizo pita kanijibu kuwa yaweza kuwa gono na akaniuliza kuwa alipoondoka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nini chanzo chake?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ndiyo habari ya mjini, mlioijaribu tuelezeni matokeo.
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari wakuu, Nawashirikisha tatizo langu, nawaomba ushauri wenu nimejigundua makende yangu yanapotea nikikagua kama moja inajisaga saga na nyingine inazidi kuwa ndogo lakini sina maumivu yoyote...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nasikiaga tu wicket, mara run... Pia naonaga mtu akirusha tenis mwingine anaudaka mwingine anakimbia yaani sielewi kabisa. Afu mashabiki kibao. Mwenye uelewa anisaidie
0 Reactions
4 Replies
877 Views
MMahitaji Ganda la ndizi mbivu Asali Limao Menya ndizi mbivu upate maganda Weka asali vijiko viwili vukubwa kwenye bakuli Kamua limao uchanganye Tumia Ganga la ndizi kupaka mchanganyiko huu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina rafiki yangu ambaye ni mjamzito wa miezi Kama minne saivi leo anasema ametoka damu sana puani mfululizo na nyingine pia Kutoka kwa njia ya mdomoni kidogo Msaada kwa watalamu nn...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Hivi huu ugonjwa unatokana na kufanya mapenzi tu hakuna njia nyengine inayo sababisha huu ugonjwa Mdogo wangu wa kiume umri 13 kaupata huu ugonjwa yani hata sex ajui.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Wapendwa naomba mapendekezo yenu kuhusu hospitali yenye huduma nzuri kwenye afya ya uzazi kwa wanawake na gharama nafuu.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana siku hizi! waganga nao sasa hasa wa mjini wanatumia mwanya huo kuibia watu kwa kuchanganya madude madude na Viagra! Pia wale watu wa mikoani wanapata shida...
7 Reactions
407 Replies
112K Views
Wakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakubwa na wadogo habari zenu kuna jambo linanitatiza naombeni msaada wenu kama mtu figo zake zimeharibika anaitaji figo ata moja. akamilishe matibabu yake unapomtolea tatizo litakua nini kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, mke wangu mzunguko wake hubadilika kila mwezi,, hapa nimechukua miezi kadhaa, Nov 2017=32, Dec 2017=25, Jan 2018 =27, febr2018=26, March =27,, na mwezi huu kaingia kwenye siku zake...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Tende mbali ya utamu wake zina faida nyingi sana mwilini Je unajua kwamba tende ndio tunda pekee lenye kuupatia...
6 Reactions
83 Replies
78K Views
Wakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu juzi juzi alinipa dawa asili ya mti ni vumbi toka Kongo akaniambia nikifa faragha na mwenza wangu nichukue kidogo afu napaka na mate kwenye kichwa cha dushelele alafu naendelea...
11 Reactions
161 Replies
71K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…