Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

HIV
what are the different in measure HIV in larger blood vessels compared to small blood vessels (in hand nails )?
1 Reactions
7 Replies
266 Views
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua. Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma...
5 Reactions
120 Replies
7K Views
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi. HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia...
0 Reactions
8 Replies
367 Views
Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu na majanga mbalimbali tokea enzi za vita ya dunia huko na mpaka tulipofika, ila kwa miaka ya karibuni kuna magonjwa mawili makubwa yalitikisa ulimwengu...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Habarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali. Hizi...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu, Nafaham kuwa PREP ni vidonge anavokunywa mtu ili vimlinde kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi, mf, unataka ukakutane na mtu ambae haumuamini, inafanya kazi kama condom...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza) Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona...
1 Reactions
10 Replies
556 Views
Habari wakuu mim ni baba wa watoto wawili, huyu mototo wangu waukiume Umri miaka 8 sasa, wakat akiwa na Umri wa miaka4 mkilala ukiamka ukienda kuamasha akokojoe usiku ama akiamka asubuhi uume...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? Nina miaka 35 sasa ila nasumbuliwa na changamoto ya ugonjwa wa presha kuwa juu. Nina miezi minne sasa tangu tatizo lianze. Kwa yeyote anaejua matibabu au dawa nzuri ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nipo kwenye ndoa miaka 2 hadi sasa sijawahi kushika ujauzito. Nimepima vipimo vyote mie na mume wangu hatuna tatizo. Naenda mwezini kama kawaida. Sijawahi kutoa mimba wala kutumia njia yoyote...
4 Reactions
520 Replies
138K Views
Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least...
15 Reactions
55 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto. Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni...
17 Reactions
94 Replies
10K Views
Samahani wakuu kuna dada alipima mimba juzi jumatano kipimo kikaonyesha anayo.. Hakuridhika akapima kesho yake alhamisi jioni kikaonyesha tena kwamba anayo akanunua kingine akapima ijumaa asubuhi...
2 Reactions
19 Replies
396 Views
Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari Dr Kuna kijana sehemu ya kichwa cha uume wake una rangi kama ngozi ya mzugu ni ya siku nyingi ila hasikii maumivu ya aina yoyote. Je, tatizo ni nini kwa mwanaume kuwa na kichwa cha uume...
0 Reactions
24 Replies
14K Views
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
10 Reactions
192 Replies
9K Views
VVU na UKIMWI ni changamoto kubwa ya kiafya duniani, lakini kwa elimu sahihi, upatikanaji wa huduma za afya, na matumizi sahihi ya dawa, maambukizi yanaweza kudhibitiwa na maisha ya walioathirika...
2 Reactions
3 Replies
750 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…