Kucheua kwa mtoto ni kitendo cha mtoto kutoa mabaki ya chakula yanayopitia mdomoni muda mfupi tu baada ya kula ama kunyonya. Kwa wazazi na walezi wengi, ni kitendo cha kawaida na mara nyingi baada...
Ni takriban mwaka wa tatu nikiwa na nasumbuliwa na tatizo la meno kutoboka hvyo kupelekea kung'olewa jino lakini kwa miez sita nimekuwa nikiziba Ila tatizo linalonisumbua kila nikiziba meno baada...
Samahani nilikua naomba kuuliza ngozi yangu ya uso ni ya mafuta lakin na shangaa nina kama wiki ivi ngozi yangu imebadilika na kua kavu na yenye mikunjo na mabaka kwa mbali sina mafuta hata kidogo...
Niaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na...
Kuna askari magereza mstaafu huko Kenya aliyekuwa kazi yake ni kutekeleza adhabu ya viboko. Anasema wao walikuwa wakichomwa sindano iitwayo TLP ( sina hakika kama matamshi yake ni hayo au...
Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito.
Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu...
Chanzo cha stress na madhara yake mwilini
Hali ya mfadhaiko inasemwa kutokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine...
Heshima kwenu wakuu
natumai mmeamka vyema
Natamani kujua juu ya jambo hili la kupungukiwa damu .
Ilikua mwaka jana rafiki yangu kipenzi alimpoteza mdogo wake sababu ilikua kupungukiwa damu
...Leo...
Wakuu habari.
Jamani wiki iliyopita nilipata muwasho sehemu za siri usio wa kawaida. Muwasho huo uliambatana na uchafu wa rangi ya maziwa uliofanana na mtindi lakini haukuwa na harufu. Yaani...
Kuishi muda mrefu ni matamanio ya kila binadamu, kwa sababu kila aliyezaliwa ana kusudi la kutimiza kabla ya kuondoka duniani.
Mazoezi ya mwili na ulaji wa chakula bora yanatajwa kuwa sehemu...
Habari waungwana nina miaka 23 ninatatizo la macho... siku hiz za karibuni kila nikiamka asubuhi huwa naona ukungu yaan sioni vizuri na nakuta macho yamejaa matongotongo tofauti na hapo nyuma.
Je...
1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.
2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama.
# PIGS SAVE LIVES
Mimi nina mke wangu na ananyonyesha mtoto wa miezi 7,lakini kutokana na hali halisi ya kibinadamu tumejikuta tukifanya mapenzi..bila kinga..
Je,anaweza kushika mimba?