Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

215/5000 Salaam wote :) Mimi na mke wangu tunajaribu kuwa na mtoto na nilishangaa ikiwa una vidokezo vya mimba na maambukizi mafanikio? Tumetumia kihesabu cha ovulation (hapa) lakini kuna kitu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuiga wanyama au wadudu ili ufanikishe jambo jema ni jambo zuri, mfano mzuri wa watu walioiga wanyama au wadudu kufanikisha jambo jema kwa maendeleo mema ya dunia ni wanasayansi, wamewaiga wanyama...
2 Reactions
95 Replies
10K Views
  • Closed
Msaada madaktari ..Kuna mtu ananiuliza morning after pills zinapatikana wapi? Na zinaaitwaje exactly kwa maduka yetu ya bongo..
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalam wa hizi kazi naomba kuuliza Hivi kuna uwezekano wa kutumia condom wakati wa tendo la ndoa na bado ukapata mchubuko hata kama condom haijapasuka?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mzuqa Juzi nilikuwa na appointment ya kupimwa na kupewa chanjo ya Hepatitis A and B kwasababu nina ka partime kusafisha hospital flan. Nilienda hospital mchafumchafu na Jasho kwasababu nilikuwa...
17 Reactions
34 Replies
5K Views
YAJUE MADHARA YA KULA MAYAI AMBAYO HAYAKUIVA VIZURI KISHA FANYA UAMUZI Mayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya...
2 Reactions
6 Replies
11K Views
Tarehe 30 mwezi wa nne dunia inahitimisha wiki ya chanjo duniani. Hebu uliza wataalamu waKupe majibu kuhusu swali lolote kuhusu chanjo.. Wataalamu toeni maelezo kwa kila swali. NB: kama kuna...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Je, ni kweli wanaweza julikana kwa namna afya zao zinavyokuwa bora? Naomba izingatiwe kwamba sina nia ya kuwanyanyapaa ndugu zangu wanaoishi na VVU. Ila nimesikia kwamba ukiona mtu ana mkono...
1 Reactions
70 Replies
15K Views
Me na vijipele vidogovidogo mwil mzima kwa anae fahamu dawa aniambie
0 Reactions
5 Replies
882 Views
habari wanajamvi naombwa kujuzwa sana juu chanjo gani anazopewa mtoto kuanzia wiki ya kwanza mpka anapofikisha miez 9 na pamoja na ile zana ya kuwa hizi chanjo sio nzuri kwa wototo wetu asante.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
The untold story of anaesthesia care challenges in Tanzania By Syriacus Buguzi More by this Author News ADVERTISEMENT 10 Hours Ago Medical experts at the newly launched Simulation Lab for...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Nina rafiki yangu ambaye ananunua dawa za kikohozi kila siku na hawezi kuacha. Iko hivi, dawa nyingi za kikohozi zina codeine Ndani yake. Codeine ni dawa ya kulevya ambayo kama zilivyo dawa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Kundi A+ • Kundi unaloweza lisaidia damu: - Kundi A na Kundi AB+ • Kundi linaloweza kusaidia damu: - Kundi A+, A-, 0+ na 0- 2. Kundi 0+ • Kundi unaloweza lisaidia damu: - Kundi 0+, A+, B+ na...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Moses Musonga: Kawaida wanaume hawana matiti lakini mimi ninayo Saratani ya matiti inapozungumziwa, moja kwa moja kinachowaingia fikirani watu wengi huwa ni wanawake. Lakini wajua kuwa ugonjwa huu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone. hii inasababisha na nini wataalam?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu..ndugu yenu Nina tatizo la kiafya huu Sasa ni mwaka wa Tisa... Tatizo hili Lilianza mwaka 2010 nikiwa kidato Cha pili nikiwa shule mwili wngu ulianza kuwa na joto Kali Sana yaani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Imezoeleka kuwa wanawake pekee ndiyo wameumbiwa kuingia period kila mwezi mara pale wanapovunja ungo, kudhihirisha kuwa sasa wako tayari kuweza kubeba ujauzito na kuzaa Lakini ni kitu cha ajabu...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari WanaJF Naomba msaada wa Gynaecologist mzuri aliye kwenye hospitali ninapoweza kutumia Bima ya NHIF. Nipo Dar es Salaam Natanguliza Shukrani
1 Reactions
21 Replies
12K Views
Habari wakuu wangu, Najua humu kuna wataalam na wenye uzoefu mbali mbali na changamoto za afya. Naomba msaada juu ya shida hapa chini. Mimi ni ME umri wa arround 33 nani mtumishi wa umma...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Samahani nilikua nataka kujua kuhusu bima rahisi maana yangu nilikatiwa na mzaz na sasa haifanyi kazii nimeuliza nhif ziko juu gharama milion moja na laki tano nilikua nataka kujua kuna bima...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…