Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Poleni na majukumu ndugu zangu kama mjuavyo maradhi tumeumbiwa binadamu mwenzenu nimekuja hapa leo nahitaji msaada wenu,yaan ni hivi kama wiki mbili nyuma nilianza kuskia maumivu kwenye mkono...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hakuna anaewapangia matumizi ya pesa zenu. Lakini ninaomba kuuliza, ni lazima mkifika bar au pub mnywe mpaka mlewe? Kunywa bia moja au mbili ni nzuri kwa afya hasa baada ya kuuchosha mwili siku...
4 Reactions
1 Replies
772 Views
Sina ubishi dawa hii atapewa bure sio ya kulipia masharti ni uwe umezidiwa, uko ndani ya mkoa wa Kilimanjaro, uwe una matatizo makubwa kiasi kwamba kazi zako hazifanyiki kwakuwa uasumbuliwa sana...
1 Reactions
0 Replies
913 Views
Wadau Naomba Mrejee Kichwa Cha Habari Tajwa hapo Juu .Mwili wangu unawasha sana wakati wa joto hata usiku joto likizidi unawasha mpaka naamka kuoga usiku ndo nipumzike tena,maana desturi yangu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Utafiti unaonyesha mbegu za Maboga zinauwezo wa kuepusha magojwa zaidi ya 10 Ugonjwa wa moyo Kiasi kingi cha madini ya magnesium ktk mbegu hizo yanaifanya kuwa muhimu sana kwa watu wenye magonjwa...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada wajameni; imekuwa ikinitokea mara kadhaa hii hali ya kupata ganzi miguuni pindi napochinja kuku. Nashindwa kuelewa kuwa hii ni hali ya kawaida au ni kwangu tu. Na je, kipi kinafanya hii...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nipo kwa shoga angu Leo Christmas day. Namsaidia vijikazi, tukisubiri jioni tule Xmas Pamoja.... Leo Niliamka saa tatu asub nimejichokea Sana. Sina Raha Sana naona nahangaishwa na uchovu mwingi...
3 Reactions
61 Replies
11K Views
heshima kwenu wote natoa nafasi ya kuulizwa swali lolote linahusiana na vimelea vya magonjwa, upimaji wake na kinga ya mwili kama una sehemu unatatizwa na unahitaji kufafanuliwa nitakupa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Chei chei! Leo, kama ilivyo cku zote, nilienda washroom kukojoa, Dushe langu likanambia limeshamaliza kukojoa! Nilipoirudisha ndani ya zipu ndo nikajua kua DUSHE limeniongopea. Kuna tone la...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarin ndugu! Ninavyofaham hua tunatumia kondom kwa lengo la kuepuka magonjwa ya ngono hasa HIV ambapo hutakiwa kuvalisha/kuvika maungo yanayojishughulisha na tendo la kugegedana yaan dushe au...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wana JF, nimeulizwa swali na rafiki yangu mmoja kuwa yeye huwa akiwa usingizini anasugua meno bila yeye kujitambua. Amekuwa akielezwa na ndugu zake, wakubwa zake na wadogo zake tangu zamani lakini...
0 Reactions
75 Replies
46K Views
Habari wana JF! Je, inawezekana mtoto tumboni kugeuka akiwa na week 20 na ikawa hali ya kawaida? Kwa sababu nilipata kusikia mtoto hugeuka akiwa na miezi minane tumboni. Msaada please kama huna...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana JF, kama kichwa habari kisemavyo ningependa kijua kwa mwenye ufahamu juu ujauzito. Kuna mwanamke ana ujauzito wa week 20 lakin miguu yake inavimba alipoenda hospital akapimwa mkojo...
1 Reactions
16 Replies
15K Views
Kuna kazi moja ya nje yaaan kidumu kinacholiwaza pindi mamsapu akifura... Mwezi uliopita nilikua nae ndani ila hatukufanya yaaan zilikua zile romance za hapa na pale na mengineyo hadi nguo akavua...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Je mama anayenyonyesha anaweza kupata mimba km akifanya mapenz na mwanaume maana cku zake hazionekan
0 Reactions
4 Replies
3K Views
hi wakuu Naona mazigizaga tu kwa upande wangu nimepeez kwanza sperm inatoka kawaida ila kadri zinavyotoka zinakua na hali tofauti mara iwe kama imeganda flan hiv na kuvutika kama gundi ya karatasi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mahitaji : limau 5 , kitunguu saumu Kimoja, tangawizi pisi moja na maji Lita 2 Unaanza na kukamulia hizo limau kwenye bakuli limau ulizokamua usitiupe zitakuja kutumika baadae Katakata kitunguu...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Hbr zenu wakuu, Nisaidieni kuelewa haya yaliyonikuta; leo nimeamka asubuhi nikachemsha tangawizi kali, kiasi cha kikombe kile kikubwa then nikachanganya na vitu vifuatavyo nusu limao na apple...
1 Reactions
98 Replies
27K Views
Kuna mwezi mmoja na nusu umepita tangu nishiriki na binti mmoja leo nimetumiwa hii kitu sasa najiuliza ni kwel yuko positive na je kuna vitu vinaweza fanyaa aonekae postive wakati ni negative kwa...
0 Reactions
65 Replies
4K Views
Je, msichana anaweza kupata mimba ya bao la tatu? Mabao mawili ya mwanzo mzigo ulimwagwa nje, la tatu uvumilivu ukakoma.
0 Reactions
28 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…