Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani, mimi nimeathirika na nyeto. Nguvu za kiume nahisi kupungua; zamani ku-sex mara 5 usiku mmoja ilikuwa kawaida tu, leo moja tu chali. Naombeni msaada nifanyeje.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha muda mwingine asipende kufanya nae mapenzi, msaada wenu jaman...
1 Reactions
19 Replies
508 Views
Hii ni theory ambayo ipo mitaani kuwa binadam akikatwa dushelele au papuchi ana rest in peace.wadau ni kweli or is just street theory tu?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu ya siku ya leo, naomba kujua madhara ya kunywa grand malt,maana kwa siku naweza kunywa tatu, naomba Na njia mbadala ya kuacha soda.
2 Reactions
9 Replies
27K Views
Wataalamu naomba mnisaidie nina mchumba wangu ana tatizo hilo la kutokwa na damu sehemu zake za uke tatizo hili lilianza siku tulipokuwa tunayafanya yetu baada ya kumpelekea mashine damu ikaanza...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Naomba kuuliza tikitimaji ni salama kwa mama mjamzito?tena ujauzito wa wiki tatu? Pia naomba kujuzwa na matunda mengine ambayo ni salama na ambayo si salama kwa afya ya mimba Changa na kuendelea...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Maana kuna mdada analalamika tumbo linamuuma pia anahisi dalili za mimba na kajipima kakuta negative ila kaenda hospitali kaonekana postive .... na kwakutumia ultra sound haionekani kitu yani...
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Msaada Tatizo la mgongo kuuma na mimba ina miezi sita huwa inasababishwa nanini?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Poleni kwa majukumu wakuu. Ninasumbulilwa na korodani ya upande wakulia huwa inaniuma hata kwa kuishika najisikia maumivu Nilipokuwa mdogo ilivimba nikapewa dawa za hospital ikarudi haliyake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wadau... Nauliza kama mtoto anatakiwa kucheza kila siku tumboni ama lah... Nimepata mashaka kwani mke wangu anasema toka juzi mtoto hajacheza, mimba kwa sasa ina miezi mitano! Naombeni...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu habari za mchana, Nina ndugu yangu ambaye amekua akisumbuliwa na meno kwa nyakati tofauti.Ni meno ambayo ameshayang'oa lakini kila alipong'olewa jino ganzi(sindano tatu) haikufanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu. Napenda kuleta mbele yenu Uzi huu ili tujadili kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia kwa mwanamke akiwa na ujauzito ikiwemo vyakula na matunzo mbalimbali mpaka anajifungua ili tuweze...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wana JF, Je ni tatizo gani la kisaikolojia alilonalo mtu anayependa kuishi mwenyewe, kufanya mambo yake mwenyewe, kupenda kukaa mbali na watu na hata wakiwepo wasiwe wengi sana na hata...
3 Reactions
94 Replies
18K Views
Naombeni msaada kwa wajuzi na wazoefu. Mke wangu kapitiliza muda wa makadirio ya kujifungua wiki 40 kwa mujibu wa ultrasound. Toka wiki iliopita mpaka sasa anapata dalili kama uchungu lakini...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu wana jukwaa naomba msaada kwa mke wng ambaye amejifungua kwa operation leo n siku ya tano (5) anasumbuliwa na maumivu makali sana ya kichwa, shingo na mgongo inayopelekea hata kukaa...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari wapendwa.. Naomba kufaham kama kuna madhara yoyote endapo mjamzito atafanya kazi kupita kiasi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa kama inafaa mtoto Wa mwez mmoja kupewa maziwa ya ng'ombe
0 Reactions
25 Replies
34K Views
Habari wadau wa jukwaa muhimu Sana kuliko yote maana afya ni mtaji.naenda moja kwa moja kwenye juzi tu nilikuwa nasikia mwili kuuma hasa joints baridi,mwili kuchemka hasa ikabidi niende dispensary...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
pineal gland, ni tezi liyoko ndani ya mwili wa mamalia eneo la kichwani ambayo inaunda mfumo wa ufahamu katika kategori ya endocrine gland. Tezi hii hutoa kemikali aina ya melatonin ambayo...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…