Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nilimiss period after a week nikaanza pata spotting za damu nikaenda hosptali kwa gynecology akanipima BhcG nikaambiwa iko 59.5 means niko pregnant akanishaur nirud kupima tena after twool weeks...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza kabisa naomba mods hii makala msiunganishee na makala zingine. Huu uzi nataka niweke niseme niwekee ufumbuz kwa njia za asili kwa mtindo wa vyakula vya asili ili kuweza kutibu tatizo hili...
4 Reactions
11 Replies
29K Views
Habari zenu wakuu! Kuna ndugu wa bosi wangu anaumwa sana sasa kaenda hosptal kucheki dr.kasema kwamba figo zimejaa maji kwa hiyo kuna dawa kapewa kwanza za mwanzoni wakati anaendelea kusubiri...
0 Reactions
15 Replies
21K Views
Naombeni kuuliza ,ni nini kinasababisha mwanamke wa umri wa makamo 34_37 ,hajawai pia kuzaa,kutoa damu nyiingi nyingi sana wakati wa hedhi? Yaani ni nyingi kiasi cha kuvaa pedi kila baada ya...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Habari zenu mimi naitwa Nickson Swai naombeni msaada wenu nna matatizo yafuatayo kwanza kupata choo ambacho kimevurugika(kuharisha),tumbo kuunguruma ,hamu ya kula usiku haipo na pia kila...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello JF, Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki... Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla...
14 Reactions
158 Replies
12K Views
Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu. Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500. Na daktari...
2 Reactions
52 Replies
9K Views
Wakuu nina mwanangu anatokwa na damu puani mara kwa mara je tatizo ni nini? Na nitumie dawa gani kumponyesha. Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Tafiti zinatuonyesha kuwa kwa kipindi kirefu, wanawake na wanaume wamekuwa wakitumia mbinu ya chakula kuwavutia wapenzi wao. Mara nyingine chakula hicho kinakuwa kinaongeza hamu ya kujamiiana na...
3 Reactions
14 Replies
10K Views
Habari wakuu! Nimeamua uzi huu kuupa kichwa hicho, naomba kuuliza kwamba. Mwanamke baada ya kujifungua huchukua muda gani kuanza kuona siku zake? Na Je, akifanya tendo la ndoa ndani ya miezi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
EPUKA MATUMIZI HOLELA YA DAWA/MADAWA. Unaamka asubuhi kichwa kinauma kwa kuwa una haraka ya kuwahi kazini unaamua kunywa dawa za kutuliza maumivu na kuwahi kazini, Mchana wakati unapata chakula...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo asubuhi nimeteleza sasa ile kutua chini nikatulia mkono wa kushoto. mkono ukajikunga(kugeuka) na kuvimba pia nakuuma sana naomba kama kuna mjuzi anisaidie.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Lengo lilikuwa kufanya arbotion na kweli baada ya kuitumia hiyo dose baada ya nusu saa tu alianza kubleed. Ilikuwa tarehe 22 mwezi huu. Sasa mpaka leo hii 31 bado anaenda bleeding tu kama kuna...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kwenu wataalam, Nasikia maumivi madogo madogo kwa mbali kwenye kende na mshipa hivi kama unakuja tumboni. hili utokea mara chache chache si kila mara, ila kuna wakati linakuwa common afu...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Habarini za usiku wakuu,natumai wazima.sipendi kupoteza muda naingia kwenye mada. Nguvu za kiume ni nini? Hili swali limekuwa lina majibu tofauti sana kutokana na mtu anayeulizwa ama yule...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni imani kuwa kila moja wetu humu JF ni mzima wa afya. Nina jambo moja ninaomba kuwashirikisha, jambo lenyewe ni hili; Mke wangu ana ujauzito wa kama miezi minne na ni mimba yake ya kwanza...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari za majukumu wana jf mimi nina mtoto wa miezi 7 na nusu na mazingira ninayoishi yanajoto sana kiasi kwamba hata nikifungua madirishi bado joto linakuwa juu kiasi kwamba mtoto anapata tabu...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wanaJF eti naomba kuliza kama mjamzito wa miez sita una presha 108/70 jé hii nikawaida au kunatatizo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MADHARA YA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU Habari za leo rafiki ni matumaini yangu unaendelea vyema na kufurahia uwepo wa blog hii, Nimepokea email nyingi kuhusu tatizo la kutopata choo hvyo nimeona...
2 Reactions
6 Replies
15K Views
Wapendwa napenda kujua je dr getrude wa regency ni mzuri!!! Kuna mtu kaniambia muda mwingi anapoona wagonjwa hayupo serious.....anaongea sana na nurse wake.....mwenye full input nataka kumpeleka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…