Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Sio kila kinacholiwa kinaweza kuliwa wakatiti wowote. Leo nitawapeni kwa uchache elimu kuhusu ulaji wa vyakula. Vyakula vimegawanyika katika makundi makuu 6 ya kutia nguvu, kujenga mwili, kulinda...
35 Reactions
126 Replies
56K Views
Habari ndugu najua kwenye wengi app haribiki kitu.. na wapo wataalam na waliowahi patwa na hili jambo.. Baba anasumbuliwa na kwikwi tumejaribu kwenda hospital lakini wataalam wamesema hawaoni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman hivi kweli vyuo vya tanzania vitakua vinatoa bachelor of science in clinical medicine kwa ajili C.O. mwenye uelewa hili msaada tafadhali anisaidie na itachukua miaka mingapi? Asanteni sana...
0 Reactions
47 Replies
19K Views
Tarehe 1 desemba kila mwaka, ni siku ya ukimwi duniani.Ukimwi na magonjwa mengine makubwa yamepewa siku rasmi kila mwaka ili kuikumbusha jamii juu ya mapambano dhidi ya magonjwa hayo. Katika siku...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
6 Negative Side Affects To Eating Genetically Modified Foods Genetically modified organisms also known as (GMO’s) can be found in as many as 60-70% of the foods in the US. As we have...
2 Reactions
49 Replies
15K Views
URAIBU (ADDICTION) Ni ugonjwa wa kimwili kiakili na kiimani ambao huathiri nyanja zote za maisha yetu, Ugonjwa huu unaweza kuwa ni wa kurithi, wa kupandikiza au hujitokeza na kukua kwa sababu za...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
FAHAMU UMUHIMU WA MADINI YA CALCIUM KATIKA MWILI WA BINADAMU. Madini ya Calcium yanapatikana mwilini ni 2% ya uzito wako. 99% inapatikana kwenye mifupa na meno. Na nyingine inapatikana kwenye...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Ni muda gani mwafaka wa kutupa mswaki baada ya matumizi? Week, Mwezi au Mwaka? Unaweza kuamini kuna mtu anatumia mswaki huo huo mwaka mmoja!
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Kuna uwezekano nyoka akawa mwenye sumu au asiwe mwenye sumu,mgojwa kupoteza fahamu au kushindwa kupumua vizuri.Kama una uhakika kuwa nyoka aliyehusika hana sumu basi mtibu mgonjwa kwa kutumia njia...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Mke wangu anatumia hii njia ya nyota ya kijani baadhi ya watalaamu wananishauli asitumie njia hii atumie kalenda,hakuna anayenishauri atumie njia kitaalamu nyingine zaidi ya kalenda inamaana hizi...
0 Reactions
18 Replies
31K Views
Ugonjwa unaitwaje na tunaweza kuumanage kwa njia gan
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Habari naomba kusaidiwa swali... Hv mtoto anaweza geuka tumbon yaan kukaa mkao wa kujifungua kichwa chini ..ujauzito ukiwa na miezi 4???
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nliingia period tar.21/10 hadi 26/10 tarehe 2_4/11 nkakutana na mwenzi Wang ambapo pia cku hyo ya tarehe 3 ambayo ilikua siku ya 14 kabisa nliona ute wa ovulation lkn baada ya sex nlikaa kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nishawaambia Adui wa kwanza Duniani ni SUKARI SUKARI SUKARI SUKARI. 1. Anayekufanya Uwe SHAPELESS na USIFURAHIE hata Mavazi yako NI SUKARI. Nakushangaa kwa nini Unaikumbatia SUKARI. 2...
3 Reactions
16 Replies
7K Views
Nimeaanzisha uhusiano na msichana last week, na tumesha yajenga maramoja, and nimemfurahia at 360degree, ila tu kuna kasoro moja ananuka K tatizo ambalo naamini sio kubwa na linatibika...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
If a mother has blood group O and a father has blood group A, both with Rh +. There is any problems in pregnancy for mother? They can bear a child without any problems?
1 Reactions
5 Replies
931 Views
Majimaji yanayotoka ukeni wakati ukiwa mjamzito
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kuuliza,kuna rafiki yangu mke wake amejifungua mtoto wa kiume na maumbile yake yameshatahiriwa tayari hii kitaalamu imekaaje??
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu wana jukwaa, habari za muda huu ?. Ninaomba kufahamishwa faida za mbegu za tikiti maji(water melon) kwa matumizi ya mwanadamu. Mwenye ujuzi kuhusu hili anifahamishe. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
12 Replies
43K Views
Naomba msaada wako Doctor wa JF naomba unifahamishe na unielimishe kwamba kutokwa na Uchafu mweusi Ukeni unasababishwa na njia ya Uzazi wa mpango wa njia ya Vijiti?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…