Dr/wauguzi na wengine wenye ufaham.
Mwanangu ana wiki tatu amekuwa anajaa tumbo na pia ana kosa choo pia analia sana naomba tafadhali nipate msaada wa kitaalam kuwa hilo ni tatizo gani na tiba...
Washikaji,nini sasa naskia kama kuna vichomi kwenye tundu la mkojo.Sasa nashindwa kujua nini tatizo kwa mtu ambaye ni mtalam au amewahi kukutana na ugonjwa huu anisaidie ili nikapime.Asante
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu yanayoendelea kwa siku ya leo.
Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nimekuwa ni mkanganyiko wa...
Kwa wale wanaouguza wagonjwa mahtuti na wale wenye vidonda midomoni. Menya nanasi ukamue juice, Weka kwenye kikombe au bakuli, chukua mswaki wa mtoto uloweshe na juice ya nanasi usafishe kinywa...
Dokta mimi ni mwimbaji wa gospel! Ila ndo naanza anza, Sasa kuna wakati napata taabu katika kuimba sauti ya juu (high pitch), kitu ambacho sikipendi,.
Yani ile unaimba halafu kwenye sauti za...
Wakuu salama
Kwanza nawasihi sihitaji matusi,kashfa au kejeli yoyote,huna cha kushauri kaa kimya tu.
Kuna demu alikua na mimba na juzi ilikua siku ya 25
Akatumia misoprostal 200 mg nne...
Mbaazi ni moja ya dawa za mitishamba zinazotibu mambo mengi ikiwemo kurudisha bikra ya msichana endapo majani yake yatatumika na kuandaliwa vyema. Tuwe makini katika kufuata njia za kuandaa dawa...
Wengine hili tunda hawajawahi kuliona na wengine wanaopoga utomvu. Long way back hili tunda ndiyo lilitumika kama sweet bite pembeni ya uji wa nazi wenye chumvi kwa mbali.
Ile miezi kumi nane ya...
MAMLAKA ya Kudhibiti Chakula na Dawa Nchini Marekani (FDA), imethibitisha na kupitisha matumizi ya kifaa kipya cha kupima Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa kutumia mate.
Kifaa hicho kilichotengenezwa...
Rais magufuli kiboko! Kawapiga bit Kali wafanyabiashara wa korosho marufuku kununua korosho kwa bei elekezi ,
Asema hachoki kufukuza watu kazi , asema haoni faida za bodi na haoni sababu ya kuwa...
Dr ,natumaini umeamka vyema,mimi shida yangu unisaidie kwa mke wa mimba ya kwanza ya mwezi mmoja,Nitumie utaratibu gani maana tumbo linamuuma kila dakka na pia ni chakula gani kinachomfaa...
Habarini
Wiki tatu zilizopita nilikuwa na hali mbaya macho yalikuwa yananiuma vibaya sana , tatizo kubwa likiwa ni mwanga yaani penye giza maumivu yanapungua.
Basi nikaenda hospitali nikapimwa...
Habar za kutwa wana JF
Wadau mwenzenu nasumbuliwa na meno, nimeshapata kung'oa mawili(2) na bado mengi matatu(3) yananisumbua ambapo mawili ni ya chini moja la juu
Plz wadau sihitaji kuendelea...
Habari wana JF!
Juzi niliamka nikawa najisikia dalili za malaria na nikaenda kucheki kwenye kituo cha afya na kukutwa na wadudu watatu hivyo doctor akaniambia unatumia dawa gani nikasema...
Habari zenu wadau wa afya
Mwanangu wa kiume mwenye miezi minne anakojoa mkojo wa njano na uchafu wa pinki huwa unabaki kwenye pampers nilimpeleka hospital daktari arecomend dawa aina ya ampiclox...